FAUSTINE NGILA: Usilie ughali wa mafuta, nunua gari la kielektriki

NA FAUSTINE NGILA MAGARI mengi yanayomilikiwa humu nchini na duniani kote yanatumia dizeli au petroli, mafuta ambayo yanachafua...

FAUSTINE NGILA: Serikali isikimye gharama ya intaneti ikizidi kupanda

NA FAUSTINE NGILA IWEJE Kenya, taifa linalotambuka Afrika kwa mpenyo wa juu wa intaneti, inaburuta mkia katika orodha ya mwaka huu ya...

FAUSTINE NGILA: Tuwazime wafisadi iwapo tunataka teknolojia itufae

Na FAUSTINE NGILA Inashangaza kuwa licha ya Kenya kupiga hatua kubwa katika maendeleo ya kiteknolojia, karatasi bado zinatumika katika...

FAUSTINE NGILA: Mitandao yabadili sura ya maandamano nchini

NA FAUSTINE NGILA KWA wiki nzima, Wakenya wamepiga kambi katika mitandao ya kijamii ya Twitter na Facebook kuishinikiza Hazina ya...

FAUSTINE NGILA: Tujizoeshe maisha ya dijitali

Na FAUSTINE NGILA NAWASHANGAA baadhi ya walimwengu kulia kuwa wamechoka kufanyia kazi nyumbani, wamechoka kutumia teknolojia; eti sasa...

FAUSTINE NGILA: DCI ijitahidi kung’amua mbinu za wizi mitandaoni

Na FAUSTINE NGILA HAPO Jumatatu, Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) ilichapisha kwenye Facebook kisa cha kustaajabisha kuhusu jinsi...

FAUSTINE NGILA: Kukwamilia WhatsApp ni ithibati Afrika haitambui usiri wa data

Na FAUSTINE NGILA JE, umehama kutoka mtandao wa kijamii wa WhatsApp? Iwapo ungali kwenye jukwaa hilo linalomilikiwa na Facebook, basi...

FAUSTINE NGILA: Teknolojia itatusaidia pakubwa mwaka wa 2021

Na FAUSTINE NGILA Leo ni siku ya mwisho ya mwaka huu wa masaibu. Nikitazama kuanzia Januari hadi Desemba, kwa kweli dunia imekumbwa na...

FAUSTINE NGILA: Shirika la Utafiti wa Angani limezembea mno, ligutuke

Na FAUSTINE NGILA Katika ukurasa wake wa Facebook, Shirika la Utafiti wa Angani la Kenya (KSA) lilichapisha habari hapo Desemba 8....

NGILA: Huduma Namba itumie ‘Blockchain’ kufanikiwa

NA FAUSTINE NGILA Jina langu kwenye kitambulisho ni Faustine, lakini ajenti wa M-Pesa aliyenisajili kwenye huduma hiyo ya kutuma na...

NGILA: Facebook ikague habari zake zisipotoshe mabilioni

NA FAUSTINE NGILA UFICHUZI wa hivi majuzi wa shirika la uanaharakati la Avaaz, Amerika kuwa Facebook iliachilia habari feki kuchapishwa...

NGILA: Kenya ifuate mfano wa Israeli kuleta maendeleo

Na FAUSTINE NGILA KWA muda mrefu sasa, Kenya imejivunia jina ‘Silicon Savannah’ ya Afrika kutokana na uwezo wake mkubwa katika...