NGILA: Dunia isipodhibiti teknolojia za #Deepfake, itaangamia

Na FAUSTINE NGILA Wakati afisa mkuu mtendaji wa kampuni za Amerika, Tesla na Space X, Bw Elon Musk (pichani) alipotoa hotuba kuhusu haja...

NGILA: Tuwape watoto fikra za kutatua changamoto maishani

NA FAUSTINE NGILA WIKI iliyopita wanafunzi wa elimu ya msingi na sekondari wenye umri wa kati ya miaka minane na 17 katika Kaunti ya...

NGILA: Ukoloni wa data waja Afrika tusipochukua hatua

Na FAUSTINE NGILA KATIKA Biblia Takatifu, (Mathayo 2:1-12) , Yesu alipozaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi zamani za Mfalme Herode,...

NGILA: Tunahitaji suluhu tosha kwa sekta ya nyama nchini

NA FAUSTINE NGILA JUMA lililopita nilihudhuria kongamano la Siku ya Ubunifu mtaani Westlands, Nairobi lililoandaliwa na kampuni ya...

NGILA: Kongole Microsoft kufadhili vipusa kuboresha kilimo nchini

Na FAUSTINE NGILA TANGAZO la kampuni ya teknolojia ya Microsoft wiki iliyopita kuwa itafadhili kampuni ibuka ya humu nchini...

NGILA: Ushirikiano kueneza elimu ya dijitali nchini upigwe jeki

NA FAUSTINE NGILA USHIRIKIANO baina ya Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu Watoto (UNICEF), kampuni ya teknolojia ya Nokia na Wizara ya...

NGILA: Teknolojia isiyoenea itazidi kulemaza uzalishaji mali

Na FAUSTINE NGILA ITHIBATI ya maendeleo ya kiteknolojia nchini Kenya tayari ipo. Binafsi, nimeshuhudia teknolojia ya juu katika...

NGILA: Juhudi ziongezwe kuzima ukeketaji wa siri

NA FAUSTINE NGILA FEBRUARI 6 kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Uhamasisho kuhusu Ukeketeji ambapo Umoja wa Mataifa huhimiza jamii zote...

NGILA: Sheria ya utambulisho wa DNA itasaidia kuzima uhalifu

NA FAUSTINE NGILA SHERIA mpya kuhusu Usajili wa Watu iliyorekebishwa na kutiwa saini na Rais Uhuru Kenyatta kuruhusu serikali kuchukua...

NGILA: Wazo la Silicon Savannah ya Nairobi lifufuliwe

Na FAUSTINE NGILA KWA mara nyingine tena, Kenya imetambuliwa barani Afrika kwa uvumbuzi wa programu ya simu ambayo imeiletea dunia...

NGILA: Pesa zilizoibwa na kufichwa ughaibuni zirejeshwe na serikali

NA FAUSTINE NGILA RIPOTI ya Shirika la Kitaifa kuhusu Utafiti wa Uchumi kutoka Amerika iliyotolewa juma lililopita kuwa Kenya ni ya pili...

NGILA: Afrika ipakie taarifa zake mitandaoni kukabili ukoloni wa kiakili

NA FAUSTINE NGILA MSOMI wa masuala ya mawasiliano Nancy Fraser katika nadharia yake kuhusu uundaji wa dhana za fikra alikusudia kuelezea...