Kangemi Athletico yazidi RYSA maarifa

Na PATRICK KILAVUKA Kocha wa Kangemi Athletico Geofrey Muganda alisema ushindi wa 3-1 dhidi ya RYSA Academy katika Ligi ya Kaunti, FKF,...

Uthiru Vision yayumbisha WYSA United kwa kuionyesha vimulimuli

Na PATRICK KILAVUKA Uthiru vision walionyesha WYSA United vimulimuli baada ya kupata ushindi wa 9 -1 katika mchuano wa Ligi ya Kanda,...

Vuta nikuvute FKF kuvuruga soka nchini

Na JOHN ASHIHUNDU Baadhi ya makocha wazalendo wakiongozwa na Jacob Ghost Mulee, wamesema vuta nikuvute ya sasa kati ya Serikali na Nick...

Kenya yaamua kusubiri Fifa itoe marufuku ya soka nchini

Na JOHN ASHIHUNDU WAZIRI wa Michezo Amina Mohamed ameanza mazungumzo na Shirikisho la Kimataifa la Soka (Fifa), lakini amesisitiza...

Atiwa mbaroni korti ikidumisha Ringera

Na WAANDISHI WETU RAIS WA Shirikisho la Kandanda Nchini (FKF) alikamatwa jana muda mfupi baada ya Mahakama kuu kukataa kusitisha...

FKF sasa kuendesha Ligi Kuu ya Soka ya Kenya baada ya mkataba wa KPL kutamatika

Na CHRIS ADUNGO SHIRIKISHO la Soka la Kenya (FKF) sasa litakuwa mwendeshaji rasmi wa Ligi Kuu ya humu nchini kuanzia msimu ujao wa...

FKF yataka wizara iruhusu Harambee Stars kuanza mazoezi kwa minajili ya mechi dhidi ya Zambia na Comoros

Na CHRIS ADUNGO SHIRIKISHO la Soka la Kenya (FKF) limetuma maombi kwa Wizara ya Michezo kukubali kurejelewa kwa mchezo wa soka humu...

Aduda akana kuwepo kwa muungano mkali wa kumlambisha Mwendwa sakafu uchaguzi ujao wa FKF

Na CHRIS ADUNGO LORDVICK Aduda ambaye ni mwaniaji wa urais wa Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) amekana kuwepo kwa mpango kati yake na...

SDT yahitaji majuma matatu kuamua hatima ya KPL

Na CHRIS ADUNGO KLABU za Ligi Kuu ya Kenya (KPL) zitalazimika kusubiri zaidi hadi Juni 30, 2020 kujua iwapo kampeni za soka ya msimu huu...

Muungano wa wawaniaji kiti cha urais FKF wanukia

Na CHRIS ADUNGO MUUNGANO mpya miongoni mwa wawaniaji wa kiti cha urais Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) katika uchaguzi ujao wa kitaifa...

FKF, FIFA waafikiana jinsi Amrouche atakavyolipwa zaidi ya Sh109 milioni

Na CHRIS ADUNGO HARAMBEE Stars sasa watashiriki mchujo wa kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia za 2022 nchini Qatar baada ya Shirikisho...

Kocha wa Western Stima asema Omala yuko huru kuhamia timu nyingine

Na CECIL ODONGO KOCHA wa Western Stima Salim Babu amesema hatamzuia mshambuliaji nyota wa klabu hiyo Benson Omala kuhama huku mwanasoka...