Mwendwa kikaangioni kuhusu mamilioni ya Afcon 2019

Na CHRIS ADUNGO RAIS wa Shirikisho la Soka la Kenya (FKF), Nick Mwendwa alishinda katika makao makuu ya Idara ya Upelelezi wa Jinai...

Mwalimu wa St Peters Mumias kuwania kiti cha FKF

Na JOHN ASHIHUNDU MWALIMU Mkuu wa shule ya St Peters Mumias kutoka Kaunti ya Kakamega, Cosmas Nabongolo amejibwaga uwanjani kuwania kiti...

KPL kuamua hatima ya ligi wiki hii

Na CECIL ODONGO USIMAMIZI wa Ligi Kuu ya Kenya (KPL) utaandaa mkutano wiki hii kuamua hatima ya msimu huu baada ya serikali kuongeza...

KPL: Nick Mwendwa aendelea kulaumiwa kwa kutoa uamuzi wa ‘mtu binafsi’

Na SAMMY WAWERU HALI ya vuta n'kuvute inaendelea kushuhudiwa kuhusu mustakabali wa mechi za Ligi Kuu ya Kenya (KPL) 2020. Licha ya...

MaruFuku ya FIFA kuhusu Amrouche si mwisho wa dunia -FKF

Na CHRIS ADUNGO SHIRIKISHO la Soka la Kenya (FKF) limekata tamaa katika juhudi za kumlipa kocha wa zamani wa Harambee Stars, Adel...

Tutawaandalia kura ya kufana FKF – bodi mpya

Na GEOFFREY ANENE MWENYEKITI mpya wa Bodi ya Uchaguzi wa Shirikisho la Soka la Kenya (FKF), Kentice Tikolo ameahidi kuwa wataendesha...

Caleb Ayodi mwenyekiti mpya wa FKF Nairobi West

Na JOHN KIMWERE CALEB Ayodi Malweyi alichaguliwa mwenyekiti mpya kuongoza Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) Tawi la Nairobi Magharibi...

FKF sasa yatishia kuondoa Harambee Stars mchujo wa Afcon

Na CHRIS ADUNGO SHIRIKISHO la Soka la Kenya (FKF) limetishia kuiondoa timu ya taifa ya Harambee Stars kwenye mchujo wa mechi za kufuzu...

Nyamweya kujibwaga uwanjani kuwania urais FKF

Na JOHN ASHIHUNDU Mwanasiasa Sam Nyamweya ameahidi kufufua soka kuanzia mashinani iwapo atachaguliwa kama rais wa Shirikisho la Soka...

ODONGO: FKF izingatie utaalamu kabla ya kuteua kocha mpya

NA CECIL ODONGO SHIRIKISHO la Soka Nchini (FKF) linafaa kuhakikisha kwamba kocha mpya atakayeteuliwa kuongoza Harambee Stars ana rekodi...

Ligi yatarajiwa kuanza ila kombe la kuwaniwa halijanunuliwa

Na CECIL ODONGO HUKU yakisalia majuma mawili pekee kabla ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya Kenya (KPL) kuanza, kampuni inayoendesha ligi hiyo...

ODONGO: Maafisa wa FKF, klabu wakome kutumia vijana vibaya

NA CECIL ODONGO MNAMO Jumapili Afisa Mkuu Mtendaji wa Shirikisho la Soka Nchini (FKF) Robert Muthomi, alijiuzulu baada ya kuandamwa na...