Basari: Magoha asuta wabunge kwa ubaguzi

Na WINNIE ATIENO WAZIRI wa Elimu, Prof George Magoha, ameanzisha msako kuwatafuta wanafunzi ambao hawajajiunga na Kidato cha Kwanza huku...

Wakosoa Magoha kutosajili shule

Na SAMWEL OWINO WAZIRI wa Elimu, Prof George Magoha amekosolewa na wabunge kuhusu agizo lake la kusitisha usajili wa shule...

Serikali yatoa Sh17.4 bilioni kufadhili masomo katika shule zote za umma

Na WINNIE ONYANDO SERIKALI ilitoa Sh17.4 bilioni kama ufadhi wa masomo katika shule zote za umma nchini muhula huu wa kwanza. Katika...

Magoha azuia vyuo vikuu kuongeza karo, mageuzi

Na FAITH NYAMAI WAZIRI wa Elimu, Prof George Magoha amesitisha mipango ya vyuo vikuu kufanya mageuzi ambayo huenda yakasababisha maelfu...

Karo: Magoha aonya walimu akiwataka kutofukuza wanafunzi

Na LAWRENCE ONGARO WALIMU wakuu wa shule za upili wameagizwa wasiwafukuze wanafunzi kwa sababu ya karo ya shule. Waziri wa Elimu Prof...

Wabunge watisha kumtimua Magoha

Na Florah Koech WABUNGE watatu kutoka Kaunti ya Baringo, wametishia kuwasilisha hoja ya kumtimua Waziri wa Elimu Profesa George Magoha...

Chama cha wazazi chataka serikali iwaandame walimu wakuu watozao ada za haramu

Na TITUS OMINDE MWENYEKITI wa Chama cha Kitaifa cha Wazazi (NPA) Nicholas Maiyo ameitaka Wizara ya Elimu kuwachukulia hatua baadhi ya...

Tetesi kuhusu ukosefu wa sodo shuleni ni uongo mtupu – Prof Magoha

Na SAMMY WAWERU WAZIRI wa Elimu Prof George Magoha amepuuzilia mbali madai ya kuwepo na upungufu wa sodo miongoni mwa wanafunzi...

KCSE: Matokeo kutolewa Mei

Na WANDERI KAMAU WATAHINIWA wa Mtihani wa Kidato cha Nne (KCSE) mwaka huu watajua matokeo yao kufikia Mei 10, amesema Waziri wa Elimu,...

Walimu watakaosahihisha KCPE watakuwa katika mazingira salama – Magoha

Na SAMMY WAWERU WAZIRI wa Elimu Prof George Magoha amehakikishia taifa kuwa walimu watakaosahihisha mtihani wa kitaifa kidato cha nane,...

KCSE: Waziri aonya wanafunzi wa vyuo

Na SHABAN MAKOKHA WAZIRI wa Elimu Profesa George Magoha, amewaonya wanafunzi wa vyuo vikuu dhidi ya kutumiwa na walimu wa shule za upili...

WANTO WARUI: Kuzuia wanahabari shuleni kunaficha maovu

NA WANTO WARUI Hatua ya hivi juzi ya Wizara ya Elimu kupiga marufuku vyombo vya habari shuleni huenda ikasababisha hasara zaidi kuliko...