Gor Mahia kujua mpinzani wao kwenye mchujo wa Kombe la Mashirikisho barani Afrika

Na CHRIS ADUNGO MABINGWA wa soka ya humu nchini, Gor Mahia watafahamu leo Ijumaa atakayekuwa mpinzani wao kwenye mchujo wa kufuzu kwa...

‘Msoto’ watisha kuyumbisha Gor mwaka mpya ‘21

Na CECIL ODONGO MASAIBU ya kifedha yanayoandama timu ya Gor Mahia hayaonekani kukoma hata katika mwaka mpya unaoanza hii leo, klabu hiyo...

Gor Mahia kukutana sasa na CR Belouizdad ya Algeria katika CAF Champions League

Na CHRIS ADUNGO MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Kenya na washindi mara 19 wa kipute hicho, Gor Mahia watavaana sasa na CR Belouizdad ya...

Karantini ilirefusha likizo ya kocha Steven Polack – usimamizi Gor Mahia

Na CHRIS ADUNGO MWENYEKITI wa Gor Mahia, Ambrose Rachier amefutilia mbali tetesi kwamba wamekatiza uhusiano wa kocha Steven...

Sijaagana na Gor Mahia licha ya hali kuwa tete – Kipkirui

Na CHRIS ADUNGO FOWADI matata wa Gor Mahia, Nicholas Kipkirui amefutilia mbali tetesi kwamba ameagana rasmi na mabingwa hao mara 19 wa...

Gor Mahia katika mtihani mgumu wa kuhifadhi huduma za wanasoka tegemeo

Na CHRIS ADUNGO KOCHA wa Gor Mahia, Steven Polack ametaka usimamizi wa miamba hao kujitahidi kadri ya uwezo wao kuwadumisha kikosini...

COVID-19: Mashabiki wa Gor Mahia tawi la Nakuru watoa msaada kwa wanaopitia hali ngumu

Na CECIL ODONGO KUNDI moja la mashabiki wa Gor Mahia limezamia miradi ya kuwasaidia watu ambao wameathirika kimapato kutokana na janga...

Kuchezea Gor Mahia kuliniandaa kwa soka ya ushindani mkubwa – Musa Mohammed

Na CHRIS ADUNGO NAHODHA wa zamani wa Gor Mahia, Musa Mohammed, amekiri kwamba kuchezea mabingwa hao mara 19 wa Ligi Kuu ya Kenya (KPL)...

Polack asema wachezaji hawafai kumlaumu kwa kukosa posho

Na CECIL ODONGO MKUFUNZI wa Gor Mahia Steven Polack amesema wachezaji wa timu hiyo hawafai kumlaumu kwa kutowapigania walipwe...

Gor Mahia na Bandari FC kukosa fedha za CAF za mfuko wa kukabili Covid-19

Na GEOFFREY ANENE WAWAKILISHI wa Kenya katika soka ya Bara Afrika ya msimu 2019-2020, Gor Mahia na Bandari wanasalia kumeza mate wengine...

Kuchezea Gor Mahia lilikuwa ni kosa kubwa, asema mvamizi wa City Stars

Na CHRIS ADUNGO MSHAMBULIAJI wa Nairobi City Stars, Ezekiel Odera amesema kwamba anajutia maamuzi yake ya kusajiliwa na Gor Mahia mnamo...

Golikipa wa Gor Mahia ataka mshahara wake la sivyo hatorejea nchini

Na CECIL ODONGO MNYAKAJI wa Gor Mahia David Mapigano ameueleza uongozi wa timu hiyo umlipe malimbikizi ya mshahara wake la sivyo...