Kenya yaipiga breki tena Uganda Cranes G mechi ya kufuzu Kombe la Dunia 2022

Na CECIL ODONGO TIMU ya taifa Harambee Stars jana ilipiga breki juhudi za Uganda kuingia raundi ya mwisho ya kufuzu kwa Kombe la Dunia...

Olunga butu Harambee Stars ikiona vimulimuli dhidi ya Mali

Na GEOFFREY ANENE MSHAMBULIAJI matata Michael Olunga alikuwa butu timu ya Harambee Stars ikibebeshwa na Mali magoli 5-0 katika mechi...

Firat atatangaza kikosi cha Harambee Stars kusafiri Morocco kuvaana na Mali mchujo wa kuingia Kombe la Dunia

Na GEOFFREY ANENE KOCHA Mturuki Engin Firat ametaja kikosi chake cha mwisho cha Harambee Stars kitakachovaana na Eagles ya Mali kwenye...

Harambee Stars yarejea nyumbani na pointi moja kampeni ya kuingia Kombe la Dunia 2022

Na GEOFFREY ANENE TIMU ya Harambee Stars imerejea nyumbani Jumatatu baada ya kupiga sare ya 1-1 dhidi ya Amavubi Stars ya Rwanda kwenye...

Aliyekuwa mchezaji wa Harambee Stars aendelea kutatizika nyumbani

NA ABDULRAHMAN SHERIFF  ALIYEKUWA mchezaji wa Harambee Stars na klabu kadhaa maarufu za hapa nchini, Abdalla Juma anaendelea kutatizika...

Harambee Stars yapiga Togo 2-1 bila Olunga

Na GEOFFREY ANENE TIMU ya taifa ya soka ya Kenya maarufu kama Harambee Stars ilibanduka kwenye michuano ya kuingia Kombe la Afrika (AFCON)...

Harambee Stars ilipiga Misri mara ya mwisho miaka 44 iliyopita

Na GEOFFREY ANENE MBIVU na mbichi kuhusu Harambee Stars na Pharaohs itajulikana wakati Kenya na Misri zitaumiza nyasi ugani Kasarani...

Harambee Stars, Mafirauni waingia kambini kabla ya kukabana koo Alhamisi

Na GEOFFREY ANENE TIMU za Kenya na Misri zimeingia kambini kabla ya mechi ya marudiano ya Kundi G ya kufuzu kushiriki Kombe la Afrika...

HARAMBEE STARS: Mulee atakiwa atembelee kujionea vipaji Pwani

NA ABDULRAHMAN SHERIFF WASHIKA dau wa soka kutoka sehemu mbalimbali za jimbo la Pwani jana walimtaka kocha wa timu ya taifa ya Harambee...

Harambee Stars kupimana nguvu dhidi ya Sudan Kusini na Tanzania kabla ya kibarua cha Misri

Na GEOFFREY ANENE TIMU ya taifa ya soka ya wanaume ya Kenya, Harambee Stars itapimana nguvu dhidi ya majirani Sudan Kusini na Tanzania...

Ghost ataja 28 kuanza maandalizi ya Harambee Stars ya AFCON 2022

Na GEOFFREY ANENE KOCHA Jacob “Ghost” Mulee ametaja kikosi cha wachezaji 28 wanaosakata soka humu nchini kwa ajili ya mechi za...

Harambee Stars yapanda hadi nafasi ya 103 kwenye orodha ya FIFA

Na CHRIS ADUNGO HARAMBEE Stars wamepanda kwa nafasi tatu zaidi kutoka nambari 106 hadi 103 kwenye orodha ya viwango bora vya kimataifa...