Harambee Stars yaangusha Chipolopolo ya Zambia kirafiki

Na CHRIS ADUNGO HARAMBEE Stars ya Kenya iliwapiga Chipolopolo ya Zambia 2-1 katika mechi ya kirafiki iliyowakutanisha uwanjani Nyayo,...

Sofapaka wavunja benki na kumtwaa beki Kibwage kutoka KCB

Na CHRIS ADUNGO SOFAPAKA wamewapiku Gor Mahia na vikosi vingine vya haiba kubwa kutoka Zambia na Afrika Kusini katika jitihada za...

Kuchezea Gor Mahia kuliniandaa kwa soka ya ushindani mkubwa – Musa Mohammed

Na CHRIS ADUNGO NAHODHA wa zamani wa Gor Mahia, Musa Mohammed, amekiri kwamba kuchezea mabingwa hao mara 19 wa Ligi Kuu ya Kenya (KPL)...

Nimefanyia wanasoka wa Harambee Stars mambo mengi makubwa bila ya kujigamba – Wanyama

Na CHRIS ADUNGO BAADA ya Victor Wanyama kulaumiwa kwa uongozi wake kambini mwa Harambee Stars na kucheza kwa kujituma na kujitolea zaidi...

AMROUCHE: Kenya yakodolea macho marufuku kutoka kwa Fifa

Na GEOFFREY ANENE SHIRIKISHO la Soka Duniani (FIFA) linatarajiwa kuandaa kikao nchini Uswisi leo Jumatatu kutoa uamuzi wa mwisho kuhusu...

Mfumaji matata wa Harambee Stars atangaza mipango yake mara atakapostaafu soka

Na CHRIS ADUNGO FOWADI wa Harambee Stars, Jesse Jackson Were, 31, ambaye ni mfungaji bora wa muda wote katika kikosi cha Zesco United...

Nalenga kuvunja dhana potovu ‘Wakenya hawana lao soka ya Afrika Kusini’ – Anthony Akumu

Na CHRIS ADUNGO KIUNGO matata wa Harambee Stars, Anthony ‘Teddy’ Akumu amesema analenga kutamba zaidi katika soka ya Afrika Kusini...

TAHARIRI: Harambee wapeni Wakenya furaha

Na MHARIRI MNAMO Alhamisi, Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA), lilitangaza droo ya mechi za kufuzu kwa Kombe la Dunia la 2022 kati...

Stars kufufua uhasama dhidi ya Eritrea

Na GEOFFREY ANENE TIMU ya taifa ya soka ya wanaume ya Kenya, Harambee Stars, italimana na Eritrea katika mechi ya nusu-fainali ya...

Harambee Stars yapewa Tanzania, Djibouti Cecafa

Na GEOFFREY ANENE MABINGWA watetezi Harambee Stars watapata fursa ya kulipiza kisasi dhidi ya Tanzania mapema baada ya kutiwa katika...

Amina Mohamed chini ya shinikizo kuhusu Harambee Stars

Na MWANGI MUIRURI MAAFISA wa Uendelezaji Soka Mashinani katika Kaunti ya Murang’a (Murang’a Grassroots Soccer Development Team)...

Ndoto ya Harambee Stars kushinda Afcon itatimia – Mashabiki mitaani

Na MWANGI MUIRURI KATIKA dimba la AFCON 2019, Harambee Stars iliwekwa katika kundi ngumu lililojumuisha Algeria, Senegal na...