SHINA LA UHAI: Kipindi kigumu kwa walio na HIV na TB

Na PAULINE ONGAJI MARUFUKU ya kutosafiri kutoka sehemu moja hadi nyingine yaliyotokana na maradhi ya Covid--19 yalimuathiri vibaya Bi...

Dawa mpya yathibitishwa kuwa na uwezo wa kupunguza makali ya HIV

Na LEONARD ONYANGO WAATHIRIWA wa HIV huenda wakapunguziwa usumbufu wa kumeza tembe za kupunguza makali ya virusi hivyo (ARVs) kila siku...

Pete ya ukeni kinga ya maambukizi ya HIV, wasema watafiti

Na Winnie Oyando Matumizi ya pete ya ukeni (vaginal ring) miongoni mwa wanawake yanaweza kuzuia maambukizi ya virusi vya HIV, kulingana...

SHINA LA UHAI: HIV: Maelfu wakwepa tembe za PrEP, kunaendaje?

Na LEONARD ONYANGO USIPOKUWA makini utadhani tembe ya kuzuia virusi vya HIV, pre-exposure prophylaxis (PrEP), ni sawa na tembe ya...

AFYA: Je, virusi vya HIV vinachochea corona?

TANGU takwimu za wizara ya Afya zilipoanza kuonyesha kuwa maambukizi ya virusi vya corona yameongezeka katika ukanda wa Ziwa Victoria,...

Watoto zaidi ya 2,000 waambukizwa HIV kwa kunyonyeshwa

Na MAUREEN ONGALA WATOTO 2,331 wanaoishi Kaunti ya Kilifi waliambukizwa virusi vya HIV katika kipindi cha janga la corona kilichoanza...

Kagwe adai shirika lilitaka kukwepa ushuru wa dawa za HIV

Na WANDERI KAMAU WAZIRI wa Afya, Bw Mutahi Kagwe, amesema kuwa Shirika la Amerika la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) lilikuwa likijaribu...

Chifu anayekabili uasherati, HIV kwa kutandika wazinifu mijeledi

Na BERNARD OJWANG KAUNTI ya Homa Bay imegonga vichwa vya habari mara nyingi kwa sababu zisizo njema kama vile kukithiri kwa maambuizi ya...

Waziri alilia viongozi wachangie kampeni ya HIV

Na AGGREY OMBOKI WAZIRI wa Afya Bi Sicily Kariuki amewaomba viongozi wa kisiasa wanaume kuisaidia nchi kukabiliana na virusi vya HIV kwa...

Hofu HIV kuongezeka wakazi kukataa kondomu

Na KALUME KAZUNGU SERIKALI ya Kaunti ya Lamu imeeleza hofu kuhusu idadi kubwa ya wakazi na wageni ambao hawapendi kutumia mipira ya...

TAHARIRI: Wadau waungane kudhibiti maambukizi ya HIV

NA MHARIRI KUIBUKA kwa ripoti kuwa maambukizi ya virusi vya HIV yameongezeka nchini kutokana na migomo ya mara kwa mara ya wahudumu wa...

Kampuni ya Kikuyu sasa yatengeneza dawa za kupunguza makali ya HIV

NA DANIEL OGETTA KIWANDA kimoja mjini Kikuyu kimefanikiwa kutengeneza dawa za kupunguza makali ya ukimwi (ARVs) kwa kuzingatia mwongozo...