Ni dharura gani ya Huduma Namba iliisukuma serikali?, maseneta washangaa

Na IBRAHIM ORUKO MASENETA sasa wanaitaka serikali ifafanue ni dharura gani iliyochochea msukumo wa kukumbatia usajili wa Huduma Namba na...

Huduma Namba: Waliodinda kujisajili kuadhibiwa

Na MARY WANGARI WAKENYA ambao bado hawajajisajilisha kwa Huduma Namba huenda wakakosa huduma muhimu mswada uliowasilishwa na Serikali...

Makarani walilia malipo ya kusajili watu Huduma Namba

Na WAANDISHI WETU MAKARANI waliofanya kazi ya kusajili Wakenya kwa ajili ya Huduma Namba mwezi uliopita wameshutumu serikali kwa...

Waliojisajili kuanza kupokea kadi za Huduma Namba mwezi Julai

Na CHARLES WASONGA na BENSON MATHEKA WAKENYA na wageni waliojisajili wataanza kupokea Huduma Namba zao kuanzia Julai, Waziri wa...

Ngugi wa Thiong’o ajisajili kwa Huduma Namba Amerika

Na CHARLES WASONGA MSOMI Mkenya mtajika Profesa Ngugi wa Thiong’o amejiandikisha kwa mfumo wa Huduma Namba katika ubalozi wa Kenya...

HUDUMA NAMBA: Chifu atuzwa Sh100,000 kwa kusajili watu wengi

Na GEORGE MUNENE NAIBU chifu ambaye kata yake iliongoza katika usajili wa Huduma Namba katika Kaunti ya Kirinyaga ametuzwa...

Watu zaidi ya nusu milioni Nakuru hawakujitokeza kupata Huduma Namba

NA PHYLLIS MUSASIA ZAIDI ya watu nusu milioni wanaoishi katika Kaunti ya Nakuru, walikosa kushiriki shughuli ya kukiandikisha ili...

HUDUMA NAMBA: Chifu aamriwa awalipe makurutu wa ziada Sh40,000

Na MWANGI MUIRURI Jopo maalumu la kiusalama katika Kaunti ya Murang'a limemwamrisha chifu mmoja eneo hilo awalipe makurutu watano...

HUDUMA NAMBA: Usajili wakamilika wachache wakijitokeza baada ya muda kuongezwa

Na Charles Wasonga ZOEZI la usajili wa Huduma Namba lilikamilika rasmi Jumamosi huku watu wachache wakijitokeza ishara kwamba huenda...

HUDUMA NAMBA: Baadhi ya watu kusajiliwa upya

NA CECIL ODONGO WALIOJISAJILI kwa Huduma Namba huenda wakahitajika kujisajili upya katika afisi za chifu endapo itapatikana habari...

Usajili: Agizo la Rais lafanya wengi kulegea

Na CHARLES WASONGA WAKENYA wamelegeza bidii ya kupokea Huduma Namba baada ya Rais Uhuru Kenyatta kuamuru muda wa kujisajili uongezwe kwa...

Rais Kenyatta aagiza shughuli ya usajili wa Huduma Namba iendelee kwa wiki moja zaidi

Na CHARLES WASONGA na PSCU WAKENYA ambao walikuwa hawajisajili kwa Huduma Namba kwa sababu moja ama nyingine, wamepata afueni baada ya...