Waislamu wamiminika madukani Lamu kununua nguo na bidhaa muhimu kwa maandalizi ya Idi

Na KALUME KAZUNGU WAUMINI wa dini ya Kiislamu katika Kaunti ya Lamu wamemiminika madukani kununua nguo na bidhaa muhimu zikiwemo vyakula...

Himizo Waislamu watii masharti hata wakati wa sherehe za Eid al-Fitr

Na MISHI GONGO VIONGOZI wa dini ya Kiislamu wamewashauri waumini wazingatie sheria na kanuni zilizowekwa kudhibiti virusi vya corona...