I&M pia yapungukiwa na faida

Na BERNARDINE MUTANU BENKI ya I&M imepata upungufu wa mapato yake baada ya kutozwa ushuru kwa asilimia sita, katika mwaka uliokamilika...