Raila na Ruto bega kwa bega

Na WINNIE ONYANDO KINARA wa ODM Raila Odinga na Naibu Rais William Ruto kufikia sasa wako bega kwa bega kwenye kinyang’anyiro...

Hali mbaya ya uchumi yatia hofu Wakenya wengi – Utafiti

Na WANDERI KAMAU HALI mbaya ya uchumi, utawala mbaya na jinsi serikali inavyoshughulikia janga la virusi vya corona ni miongoni mwa...

Pwani walisota zaidi Kenya 2020 – Utafiti

Na MARY WANGARI WAKAZI wa eneo la Pwani waliongoza kwa idadi ya Wakenya waliotaabika katika mwaka wa 2020 uliomalizika hivi punde,...

Infotrak yakanusha madai ya gavana kuhusu hongo

Na IBRAHIM ORUKO KAMPUNI ya Infotrak imekanusha madai ya Gavana wa Meru, Kiraitu Murungi kwamba, wahudumu wake waliitisha hongo kutoka...

Wabunge Omboko Milemba na Johanna Ng’eno waongoza katika orodha ya utendakazi

Na CHARLES WASONGA MBUNGE wa Emurua Dikirr Johanna Ng’eno ambaye anakabiliwa na kesi ya uchochezi mahakamani ameibuka kuwa wa pili...

INFOTRAK: Wakenya wanataka IEBC ivunjwe

Na CHARLES WASONGA IDADI kubwa ya Wakenya inataka Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ivunjwe. Matokeo ya kura ya maoni...