Kang’ata ajitetea kuhusu mchango alioaibishwa na Naibu Rais

Na SAMMY WAWERU SENETA wa Murang’a, Irungu Kang’ata amejitetea vikali kuhusu hafla ya harambee ambapo alionekana akishurutishwa na...

Maseneta wakemea wanahabari kwa kuchapisha video waliyodai ni ya Kang’ata akiwa mlevi

Na CHARLES WASONGA MASENETA Jumatano walishambulia vyombo vya habari kufuatia video feki iliyosambazwa mitandaoni iliyokosea heshima...

Kang’ata sasa akiri ameonja makali ya Covid-19 mara mbili

Na MWANGI MUIRURI SENETA wa Murang'a Bw Irungu Kang'ata sasa amefungua roho na kukiri kuwa ameonja makali ya ugonjwa wa Covid-19 mara...

Kang’ata awataka Wakenya wawe makini kipindi hiki idadi ya visa vya Covid-19 ikipanda kwa kasi

Na MWANGI MUIRURI SENETA wa Murang'a Bw Irungu Kang'ata amejitokeza Alhamisi na kuelezea kuwa amekuwa hoi akiuguza ugonjwa ambao...

Wembe ‘ule ule’ ndio uliomnyoa Kang’ata

Na CHARLES WASONGA SENETA wa Murang’a Irungu Kang’ata ameng’olewa kwa njia ambayo analalamika ni potovu, ilhali si tofauti na ile...

Sijali kupigwa kalamu, afoka Kang’ata

Na CHARLES WASONGA KIRANJA wa Wengi katika Seneti Irungu Kang’ata amesema kuwa yuko tayari kupokonywa wadhifa wake katika bunge hilo...

ODM wahofia Jubilee inakoroga Raila

Na JUSTUS OCHIENG CHAMA cha ODM kimeeleza hofu kwamba barua ambayo seneta wa Murang’a Irungu Kang’ata aliandikia Rais Uhuru Kenyatta...

Barua kwa Rais: Kang’ata aomba msamaha

Na CHARLES WASONGA KIRANJA wa wengi katika Seneti Irungu Kang’ata sasa anadai kuwa barua aliyomwandikia Rais Uhuru Kenyatta akisema...

Barua ya Kang’ata yawasha moto

BENSON MATHEKA na JUSTUS OCHIENG BARUA ya Kiranja wa Wengi katika Seneti, Irungu Kang’ata kwa Rais Uhuru Kenyatta akimweleza wazi...

Kang’ata kurai Seneti ipitishe mswada wa chai

Na MWANGI MUIRURI KIRANJA wa Seneti Irungu Kang’ata ameahidi kuwashawishi maseneta waidhinishe Mswada wa Chai akisema utawafaidi...

Ikulu inaingilia ugavi wa fedha za kaunti, Kang’ata afichua

Na CHARLES WASONGA HUENDA muafaka kuhusu suala tata la mfumo wa ugavi wa fedha miongoni mwa serikali 47 za kaunti usipatikane hivi...

JAMVI: Mfumo wa ugavi pesa za kaunti wageuka mtihani mgumu kwa Irungu Kang’ata

Na MWANGI MUIRURI BAADA ya Rais Uhuru Kenyatta kuingiwa na wasiwasi kwamba ajenda za utawala wake zilikuwa zinakwamakwama katika bunge...