Mshindi wa Kundi C kati ya Italia na Uswisi kuamuliwa na mechi ya mwisho baada ya Jorginho kupoteza penalti

Na MASHIRIKA JORGINHO Frello alipoteza penalti ya dakika ya mwisho katika mechi ya kufuzu kwa fainali zijazo za Kombe la Dunia mnamo...

Italia watoka sare na Uswisi na kufikia rekodi ya Brazil ya kutoshindwa katika mechi 36 mfululizo

Na MASHIRIKA TIMU ya taifa ya Italia ilifikia rekodi ya Brazil ya kutoshindwa katika mechi 36 mfululizo za kimataifa baada ya kuambulia...

Mashabiki wapokea kikosi cha Italia kwa shangwe na mbwembwe za kila aina baada ya kushinda taji la Euro

Na MASHIRIKA ILIKUWA mbwembwe na vifijo vya kila sampuli miongoni mwa mashabiki waliojitokeza kwenye barabara na vichochoro vya miji...

Italia wakomoa Uingereza na kutwaa ubingwa wa Uefa Euro 2020

Na MASHIRIKA MATUMAINI ya Uingereza kutwaa taji la Euro kwa mara ya kwanza na la pili kwenye kipute cha haiba kubwa tangu washinde Kombe...

Kipa Gianluigi Donnarumma wa Italia atawazwa Mchezaji Bora wa Uefa Euro 2020

Na MASHIRIKA KIPA Gianluigi Donnarumma wa Italia alitawazwa Mchezaji Bora wa kipute cha Euro 2020, mashindano yaliyokamilika rasmi Julai...

Italia kukutana na Uhispania kwenye nusu-fainali za Euro baada ya kuipiga Ubelgiji 2-1

Na MASHIRIKA ITALIA waliwakomoa Ubelgiji 2-1 mnamo Ijumaa usiku jijini Munich, Ujerumani na kufuzu kwa nusu-fainali ya Euro...

Itakuwa moto Italia, Ubelgiji zikikwaruzana robo ya Euro hii leo

Na MASHIRIKA MUNICH, Ujerumani ITALIA na Uhispania watalenga kuendeleza rekodi zao nzuri dhidi ya Ubelgiji na Uswisi mtawalia, dimba...

Italia wapepeta Northern Ireland bila jasho jingi katika mechi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia

Na MASHIRIKA ITALIA waliwapepeta Northern Ireland 2-0 mjini Parma mnamo Alhamisi katika mchuano wao wa ufunguzi wa kampeni za kufuzu kwa...

DIMBA: ‘Big Mo’ Kean ametajwa kama kizazi kipya cha Azzuri

Na GEOFFREY ANENE BIOTY Moise Kean ni mmoja wa wanasoka makinda wanaovuma kwenye Ligi Kuu nchini Ufaransa. Mshambuliaji huyo wa kati...

Kipenga cha kuashiria kurejelewa kwa Serie A kupulizwa rasmi Juni 20

Na CHRIS ADUNGO KIVUMBI cha Ligi Kuu ya Italia (Serie A) kitarejelewa mnamo Juni 20, 2020. Haya ni kwa mujibu wa Waziri wa Michezo...

Uwanja wa San Siro unaotumiwa na AC Milan na Inter Milan kubomolewa

Na CHRIS ADUNGO NAFASI ya uwanja maarufu wa San Siro ulioko jijini Milan, Italia inatarajiwa kuchukuliwa na uwanja mpya baada ya mamlaka...

Serie A kurejelewa rasmi Juni 13

Na CHRIS ADUNGO KIPUTE cha Ligi Kuu ya Italia (Serie A) sasa kitarejelewa Juni 13, 2020 iwapo serikali itaidhinisha maamuzi ya vinara wa...