Sonko, Badi warushiana tope kuhusu taka mitaani

Na COLLINS OMULO UHASAMA kati ya Gavana wa Nairobi Mike Sonko na Mkurugenzi wa Idara ya Huduma ya jiji la Nairobi (NMS), Meja Jemedari...

Mradi wa takataka mtoni wasimamishwa

Na MWANGI MUIRURI MBUNGE wa Maragua Bi Mary wa Maua Alhamisi alipata agizo la mahakama kuhusu mashamba na mazingira kusimamisha mradi wa...

Kaunti yapanda miti kwa ardhi iliyotumika kama dampo Nyali

Na MISHI GONGO SERIKALI ya kaunti ya Mombasa imeanza kupanda miti katika sehemu iliyokuwa jaa la VOK eneo la Nyali. Kipande hicho cha...

Jiji la Nairobi lingali chafu chini ya usimamizi mpya

Na CHARLES WASONGA ATHARI za hatua ya majuzi ya Gavana wa Kaunti ya Nairobi Mike Sonko kudinda kuidhinisha mgao wa Sh15 bilioni kwa...

KIBARANI: Licha ya kero lake, jaa limefaa wengi

Na CHARLES ONGADI WIKI iliyopita, garimoshi la kubeba mafuta lilianguka eneo la Kibarani, sababu kuu ikisemekana kuwa takataka....

Uchafu kwenye mazingira ulivyozidisha athari za mafuriko mitaani

Na SAMMY KIMATU MVUA ni baraka na Wakenya wamekuwa wakiiomba inyeshe baada ya kushuhudiwa mahangaiko yaliyosababishwa na ukame na...