Jaguar afichua sababu ya kukamatwa kwake

Na CHARLES WASONGA MBUNGE wa Starehe Charles Njagua Kanyi amethibitisha kuwa amekamatwa na anazuiliwa katika kituo cha polisi cha...

Njagua aonja uhuru baada ya siku 6 seli

Na Richard Munguti MBUNGE wa Starehe, Charles Kanyi Njagua, Jumatano alionywa dhidi ya kutoa matamshi yanayohatarisha usalama wa wageni...

MUTANU: Wakenya wasikubali uchochezi dhidi ya raia wa kigeni

Na BERNARDINE MUTANU Matamshi ya Mbunge wa Starehe Charles Njagua dhidi ya raia wa kigeni, hasa kutoka mataifa jirani sio tu ya...

Yafichuka Jaguar alitozwa Sh40,000 kwa mauaji

Na RICHARD MUNGUTI MBUNGE wa Starehe Charles Kanyi Njagua, almaarufu Jaguar alitozwa faini ya Sh40,000 kwa kosa la mauaji mapema mwaka...

Mkenya atekwa nyara Dar es Salaam

Na AMINA WAKO MFANYABIASHARA Mkenya, Bw Raphael Ongangi alitekwa nyara Jumatatu usiku mjini Dar es Salaam, Tanzania akiwa na mke...

Kuria ashangaa kwa nini Matiang’i hajakamatwa kwa kusema Wachina watimuliwe

Na PETER MBURU MBUNGE wa Gatundu Kusini Moses Kuria Jumatano amekashifu hatua ya polisi kumkamata mbunge wa Starehe Charles Njagua...

Jaguar abambwa nje ya majengo ya bunge

Na CHARLES WASONGA MBUNGE wa Sterehe Charles Njagua Jumatano adhuhuri alikamatwa nje ya majengo ya bunge, Nairobi kwa madai ya kutisha...

Vitisho vya Jaguar vyaitia TZ tumbo joto

Na CHARLES WASONGA SPIKA wa bunge la Tanzania Job Ndugai ameitaka serikali ya nchini humo kutoa taarifa kuhusu usalama wa Watanzania...

MAADILI: Babu Owino na Jaguar waomba msamaha kwa kulimana bungeni

Na CHARLES WASONGA MBUNGE wa Embakasi Mashariki Babu Owino na mwenzake wa Starehe Charles Njagua (Jaguar) Alhamisi waliomba msamaha...