Boti mpya la kushughulikia mikasa baharini lazinduliwa

NA KALUME KAZUNGU Kaunti ya Lamu imezindua boti maalum litakaloshughulikia kuokoa wasafiri wakati ajali za boti na mashua zinapotokea...

Wakazi wafurahia biashara ya mafuta ndani ya Bahari Hindi

NA KALUME KAZUNGU WAUZAJI mafuta ya petroli, diseli na gesi ndani ya Bahari Hindi, Kaunti ya Lamu wamekiri kupata kivuno kutokana na idadi...