Aliyeshtakiwa kwa kumjeruhi mmiliki wa mkahawa jijini kwa kumpiga risasi, afungwa jela miaka 23

Na RICHARD MUNGUTI MFANYABIASHARA aliyemmiminia risasi mmiliki wa mkahawa wa Ronalo, almaarufu K’Osewe, William Osewe, wakizozania...

Miaka 10 ndani yamsubiri Wario kwa ufisadi

Na RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA waziri wa Michezo na Jinsia, Dkt Hassan Wario huenda akasukumwa jela miaka 10 baada ya kupatikana na hatia...

Wafungwa waachiliwa kupunguza msongamano

Na Manase Otsialo Wafungwa 18 wameachiliwa huru kaunti ya Mandera baada ya hukumu zao kuchunguzwa na Kamati ya Taifa ya Huduma ya...

Atupwa ndani wenzake wakiuawa na umati

Na RICHARD MUNGUTI JAMBAZI  mwenye umri wa miaka 19 aliyejiponya nafsi yake kwa kuruka ukuta na kuingia ndani ya nyumba moja mtaani...

Mahabusu zaidi wahepa seli za polisi katika hali ya kutatanisha

Na STEVE NJUGUNA IDADI ya washukiwa wanaotoroka seli za polisi imeendelea kuongezeka huku 10 wakitoroka katika kituo cha polisi cha...

Korti yamfunga nyanya jambazi miaka 35 jela

Na BENSON MATHEKA NYANYA wa miaka 62 ambaye amekuwa akishiriki ujambazi kwa miaka mingi amefungwa jela miaka 35 baada ya kupatikana na...

Msanii Omar Blondin Diop alivyoteswa akipigania haki za raia wa Senegal

NA FLORIAN BOBIN Maisha ya mwanaharakati na msanii wa Senegal Omar Blondin Diop, aliyeuawa mwaka 1973 kwa kupigwa risasi chini ya...

Mwanamke jela mwaka mmoja kwa kujaribu kumuua mtoto

Na RICHARD MUNGUTI MWANAMKE mwenye umri wa miaka 25 atatumikia kifungo cha miezi 12 gerezani kwa kujaribu kumuua mwanawe mwenye umri wa...

Waliotupwa jela kimakosa miaka 36 kufidiwa Sh297m kila mmoja

MASHIRIKA Na MARY WANGARI WANAUME watatu kutoka Baltimore waliokuwa vijana chipukizi walipohukumiwa kifo kimakosa mnamo 1984...

Aliyezaba polisi kofi atozwa faini Sh500,000 au jela miaka mitano

Na KALUME KAZUNGU MAHAKAMA ya Lamu imemtoza faini ya Sh500,000 au kifungo cha miaka mitano gerezani mwanamume aliyepatikana na hatia ya...

Aliyetisha mashahidi ahukumiwa kifungo cha jela miaka 14

Na RICHARD MUNGUTI MZEE aliyeshtakiwa kwa kutisha mashahidi katika kesi ya ulipuaji matatu kwa gruneti ambapo abiria watatu walifariki...

Mgombeaji urais asusia mlo katika jela ya Tunisia

Na MASHIRIKA MMOJA wa wawaniaji wa urais nchini Tunisia, Nabil Karoui, ambaye alipigiwa upatu kushinda kiti hicho ameanza kususia...