Utaenda jela ukikataa sensa

Na BENSON MATHEKA WAKENYA watakaosusia shughuli ya kuhesabu watu itakayoanza Jumamosi jioni, wanakabiliwa na hatari ya kutozwa faini ya...

Baktash Akasha ahukumiwa kifungo cha miaka 25 jela Amerika

Na KEVIN J. KELLEY na CHARLES WASONGA MAHAKAMA moja ya Amerika imemhukumu Baktash Akasha kifungo cha miaka 25 jela baada ya kumpata na...

Wahimizwa wasibague mahabusu wa zamani

Na ELIJAH MWANGI WAKAZI wa Meru wametakiwa kukoma kuwabagua wafungwa wa zamani. Machifu wawili; Bi Isabel Mutura wa lokesheni ya...

SHAMBULIZI LA GARISSA: Mtanzania jela maisha, Wakenya wawili ndani miaka 41

NA MARY WANGARI @taifa_leo RAIA wa Tanzania ambaye ni mmoja wa washukiwa watatu katika mashtaka ya kusaidia utekelezaji wa shambulizi...

Mfungwa aliyejifanya maiti kutoroka jela achomwa hadi kufa

MASHIRIKA Na PETER MBURU Maryland, Marekani JARIBIO la mfungwa kutoroka gerezani eneo la Maryland, Marekani kwa kujificha katika...

Mwanamume aliyepatikana na hatia ya kunajisi wasichana wawili asukumwa jela maisha

Na LAWRENCE ONGARO MWANAMUME mmoja amepokezwa adhabu ya kifungo cha maisha gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kuwanajisi wasichana...

Mwekezaji ataka Joho atupwe jela miezi 6

PHILIP MUYANGA Na CHARLES LWANGA MFANYABIASHARA aliyeshtaki serikali ya Kaunti ya Mombasa kufuatia mzozo wa shamba, sasa anataka Gavana...

ONYANGO: Idadi kubwa ya vijana waliopo magerezani inashtua sana

Na LEONARD ONYANGO RIPOTI kuhusu Hali ya Uchumi ya 2019 iliyotolewa na Shirika la Takwimu nchini (KNBS) wiki iliyopita , inafaa kushtua...

Jela ambapo wafungwa huondoka kila siku kwenda kusaka riziki

MASHIRIKA Na PETER MBURU KATIKA jela ya Sanganer katika Jiji la Jaipur, India kuna mazingira ya aina yake kwani japo wahalifu hufungwa...

Ndani miaka 105 kwa kulawiti wavulana watatu

Na CHARLES WANYORO MWANAMUME mwenye umri wa miaka 36 Jumatano alifungwa jela miaka 105 kwa kuwalawiti wavulana watatu kwa siku tatu...

Pendekezo wafisadi wote wasukumwe jela maisha

Na HAMISI NGOWA MBUNGE wa Likoni, Bi Mishi Mboko amependekeza watu wanaopataikana na hatia ya ufisadi wafungwe gerezani maisha na kisha...

Mwanamke ndani miaka 15 kwa kunajisi tineja

Na RUSHDIE OUDIA KATIKA kisa kisicho cha kawaida, Mahakama ya Kisumu Jumatano ilimhukumu mwanamke wa miaka 24 kifungo kikali cha miaka...