Mwanamume azuiliwa kujeruhi polisi kwa jiwe wakati wa kafyu

Na JOSEPH NDUNDA MWANAMUME anazuiliwa katika kituo cha polisi cha Makongeni, Nairobi kwa kumgonga afisa wa polisi kwa jiwe na kumjeruhi...