Kamishna aamuru ukaguzi kuzuia bidhaa za magendo kutoka Tanzania

Na KNA KAMISHNA Mshirikishi wa eneo la Pwani , Bw John Elungata, ameamuru vikosi vyote vya usalama eneo hilo kuanzisha operesheni dhidi...

Agizo wanafunzi waliokosa kujiunga na sekondari wasakwe

MAUREEN ONGALA na STANLEY NGOTHO MAELFU ya wanafunzi hawajajiunga na Kidato cha Kwanza katika kaunti mbalimbali nchini, wiki nne tangu...

Polisi wasaka mshukiwa wa ugaidi aliyekwepa mtego wao

SIAGO CECE na FARHIYA HUSSEIN MAAFISA wa polisi wanamtafuta mshukiwa wa ugaidi anayeaminika alikwepa mtego wao Jumatatu, wakati...

Usalama waimarishwa Rais Kenyatta akitarajiwa kupokea meli katika Bandari ya Lamu Alhamisi

Na KALUME KAZUNGU USALAMA umeimarishwa Kaunti ya Lamu na Pwani kwa ujumla wakati ambapo Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa rasmi katika...

Onyo kwa wakazi wa Pwani wanaouza miti na makaa kiholela

Na MISHI GONGO SERIKALI imewaonya wanaoendeleza biashara haramu ya kuuza makaa na kukata miti ovyo katika eneo la Pwani. Akizungumza...

Wazee sita huuawa kila wiki Pwani – Serikali

Na WACHIRA MWANGI YAHOFIWA mkongwe mmoja huuliwa kila wiki katika kila kaunti za Pwani kwa madai ya uchawi, kwa mujibu wa Mshirikishi wa...

KURUNZI YA PWANI: Wakazi wahimizwa wajiandae hali ya kawaida ikitarajiwa

Na MISHI GONGO ENEO la Pwani limeanza mikakati ya kujitayarisha kurejea kwa hali ya kawaida kama alivyodokeza Rais Uhuru Kenyatta wiki...

KURUNZI YA PWANI: Elungata aelezea Wapwani haja ya kushirikiana na maafisa maeneo mpakani yasalie salama

Na WINNIE ATIENO MSHIRIKISHI wa eneo la Pwani Bw John Elungata na afisa wa uhamiaji Bi Jane Nyandoro wamewaonya wakazi wanaoishi...