Wajomvu sasa wataka warudishiwe ardhi yao

Na WACHIRA MWANGI JAMII ya Wajomvu katika Kaunti ya Mombasa, inataka uchunguzi kuanzishwa kuhusu dhuluma za kijadi dhidi yao, ili...

Baadhi ya Wajomvu waandamana Mombasa malalamiko yakiwa unyakuzi wa vipande vya ardhi

Na MISHI GONGO BAADHI ya watu kutoka kwa jamii ya Wajomvu mjini Mombasa wameandamana Jumatatu wakipinga unyakuzi wa vipande vya ardhi...

Mama na wanawe wawili wateketea hadi kufa Jomvu

Na MISHI GONGO MWANAMKE mmoja na wanawe wawili wamefarika baada ya nyumba yao kuteketea katika mtaa wa Jitoni eneo la Jomvu, Kaunti ya...

Awamu ya kwanza ugavi wa chakula kwa familia za kipato cha chini Mombasa kukamilika kesho Jumanne

Na MISHI GONGO AWAMU ya kwanza ya ugavi wa chakula kwa familia za kipato cha chini katika Kaunti ya Mombasa unatarajiwa kukamilika...

Mbunge wa Jomvu awaondolea wakazi hofu

Na WINNIE ATIENO MBUNGE wa Jomvu Badi Twalib amewahakikishia wakazi wa eneobunge lake kwamba madereva wa masafa marefu hawatapimwa...