Talaka ya Jubilee na ODM sasa yaiva

NA BENSON MATHEKA NDOA ya kisiasa iliyoleta pamoja vyama 26 ili kuunda Azimio la Umoja-One Kenya inaonekana kuvunjika baada ya ripoti...

Jubilee sasa haitashiriki maandamano

NA JAMES MURIMI CHAMA cha Jubilee kimetangaza kuwa hakitajihusisha na misururu ya mikutano ambayo Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya...

Jubilee ingali imara wala haijafa, adai Mbunge Kanini Kega

Na KENYA NEWS AGENCY MBUNGE wa Kieni, Bw Kanini Kega amekana madai kuwa chama cha Jubilee kimekufa, akisema mipango ya kukiimarisha...

Uhuru atia doa ndoa ya ODM, Jubilee

Na BENSON MATHEKA  JUKUMU ambalo Rais Uhuru Kenyatta atatekeleza baada ya chama chake cha Jubilee kuungana na ODM linatishia kulemaza...

Jubilee kuachia kila raia deni la Sh180,000

Na BENSON MATHEKA SERIKALI ya Jubilee itaachia kila raia wa Kenya, wakiwemo watoto watakaozaliwa mwaka 2022, mzigo wa kulipa Sh180,000...

Sababu zilizofanya chama cha Jubilee kusambaratika

Na JUSTUS OCHIENG CHAMA tawala cha Jubilee kimepoteza umaarufu wake baada ya kuangushwa kwenye chaguzi ndogo katika ngome zake hivi...

Presha Jubilee ilipe deni la Kalembe Ndile kabla ya mazishi yake

CHARLES WASONGA NA PIUS MAUNDU CHAMA cha Jubilee kimetakiwa kilipe Sh6 milioni kwa familia ya marehemu Kalembe Ndile kwa mujibu wa...

Jubilee kuvunja uhusiano na PDR ambacho sasa ni UDA

Na CHARLES WASONGA CHAMA cha Jubilee sasa kinapania kuvunja uhusiano wake na chama cha Party of Reforms and Development (PDR)...

Kositany asema ataishtaki Jubilee kwa kumtimua

Na SAMMY WAWERU MBUNGE wa Soy Caleb Kositany amesema atachukulia hatua chama tawala cha Jubilee (JP) kwa kile anadai ni kumtimua kutoka...

Raila atetea Uhuru kuhusu mapungufu ya Jubilee

Na DERICK LUVEGA KIONGOZI wa Chama cha ODM, Bw Raila Odinga, amemtaka Naibu Rais William Ruto kukoma kumlaumu Rais Uhuru Kenyatta kwa...

Jubilee inanidhulumu, alia mwaniaji ubunge Kabuchai

Na Brian Ojamaa MWANIAJI aliyeazimia kugombea kiti cha eneobunge la Kabuchai kwa tiketi ya chama cha Jubilee, amelalamikia uamuzi wa...

Ruto na Raila wazidi kuraruana kuhusu utawala wa Jubilee

Na WAANDISHI WETU NAIBU Rais William Ruto, jana alimkosoa Kiongozi wa ODM, Bw Raila Odinga kwa matamshi yake kwamba serikali ya Jubilee...