Jubilee yaachia NASA chaguzi ndogo

Na CECIL ODONGO CHAMA cha Jubilee kimeendelea na mtindo wake wa kutowawasilisha wawaniaji kwenye ngome za washirika wake, baada ya...

ODM wahofia Jubilee inakoroga Raila

Na JUSTUS OCHIENG CHAMA cha ODM kimeeleza hofu kwamba barua ambayo seneta wa Murang’a Irungu Kang’ata aliandikia Rais Uhuru Kenyatta...

Serikali yapewa red card

Na VALENTINE OBARA SERIKALI ya Jubilee inayoongozwa na Rais Uhuru Kenyatta imeshindwa kutekeleza ahadi nyingi zilizotolewa wakati wa...

Ahadi juu ya ahadi

CHARLES WASONGA na VALENTINE OBARA HOTUBA ya Rais Uhuru Kenyatta bungeni jana kuhusu hali ya taifa,ilisheheni msururu wa ahadi huku zile...

Wimbi katika jahazi la UhuRuto latikisa nchi

Na BENSON MATHEKA UHASAMA wa kisiasa kati ya mirengo miwili katika chama cha Jubilee inaendelea kuwagawanya Wakenya na kulemaza huduma...

JAMVI: Mbona kufuli Jubilee House miezi 7 sasa?

Na LEONARD ONYANGO VITA vya kisiasa katika chama cha Jubilee vinazidi kuchacha huku wandani wa Naibu wa Rais William Ruto wakifungiwa...

Mudavadi avuna wanachama 350 kutoka Jubilee

Na MWANGI MUIRURI CHAMA cha Musalia Mudavadi, ANC, Jumanne kimeendelea kuvuna wafuasi wa Rais Uhuru Kenyatta katika Kaunti ya Murang’a...

Jubilee yachafua Katiba

Na MWANDISHI WETU SERIKALI ya Rais Uhuru Kenyatta inaendelea kulaumiwa kwa kutotilia maanani hitaji la kuheshimu Katiba kikamilifu, huku...

Wiper yavunja mkataba na Nasa, yaingia Jubilee rasmi

Na BENSON MATHEKA CHAMA cha Wiper kinachoongozwa na Bw Kalonzo Musyoka, kimeamua kuunda muungano rasmi na Chama cha Jubilee. Hatua...

Ndoa ya ODM na Jubilee yaingia doa

Na BENSON MATHEKA KUJIVUTA kwa chama cha ODM, kukubali mkataba wa ushirikiano na chama cha Jubilee kulisababisha mzozo kuhusu uanachama...

Mbadi akanusha mzozo bungeni kati ya ODM, Jubilee kuhusu BBI

GEORGE ODIWUOR na IBRAHIM ORUKO KIONGOZI wa Wachache katika Bunge la Kitaifa, Bw John Mbadi, amekanusha madai kuwa wabunge wa ODM na...

Serikali ya nusu mkate yaiva

Na SAMWEL OWINO VYAMA vilivyotia saini mkataba wa ushirikiano na Chama cha Jubilee vimeanza kung'ang'ania usimamizi wa kamati kadhaa za...