LISHE NA VINYWAJI: Manufaa ya juisi

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com CHAKULA chako leo ndicho kinachoamua hali yako ya kiafya kesho. Unaweza kuishi bila...

Jinsi ya kuandaa kinywaji cha ‘detox’ au kitoa sumu maarufu ‘green juice’

Na DIANA MUTHEU dmutheu@ke.nationmedia.com NI ndoto ya watu wengi ambao wamekuwa na uzani mwingi kupindukia kuweza kupunguza kilo ili...

‘Janga au jambo baya linaweza likaleta fursa nzuri’

Na MWANGI MUIRURI PURITY Namalwa Nasilwa, 22, anachukulia janga la Covid-19 kama 'laana njema' iliyomwezesha kufumbua macho na kuona...

LISHE: Ni muhimu kuyala matunda au kunywa juisi ya matunda

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com INAFAHAMIKA na kuaminika kuwa chakula kina virutubisho ambavyo pia husaidia kuimarisha...

VINYWAJI: Faida za juisi mbalimbali

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com JUISI ni kinywaji kilichotengenezwa kutokana na tunda halisi au mboga na si mchanganyiko...

AFYA: Manufaa ya juisi ya mua

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com WATU wengi wanapenda vitu vitamu vyenye sukari. Mua ambao ni mmea mwembamba na mrefu...

Mchina aponea kifo baada ya kujidunga sindano ya juisi kuboresha afya

MASHIRIKA Na PETER MBURU MWANAMKE kutoka China alikuwa karibu kufa, baada ya kujidunga sindano zenye zaidi ya aina 20 za sharubati za...

AKILIMALI: Mhadhiri anayekuza miwa jijini na kuunda hela akiuza sharubati

Na PETER CHANGTOEK SIKU moja alipokuwa akiendesha gari katika barabara kuu ya Thika, Daktari Kennedy Ongaro alilisimamisha gari lake...

Mmiliki wa kampuni ya juisi ya Afia kujitosa kwa soko la hisa

MARY WAMBUI na PETER MBURU Mmiliki wa kampuni ya Kevian Kenya ambayo hutengeneza vinywaji kama Afia na vingine, Kimni Rugendo amedokeza...

Ajenda Nne Kuu: Kijana airai serikali imkubalie azindue kiwanda cha mvinyo wa miraa

Na FAUSTINE NGILA MARUFUKU ya Uingereza na Somaliland dhidi ya miraa kutoka Kenya iliwaacha wakulima wengi katika kaunti ya Meru katika...