Wanafunzi kadhaa Juja washindwa kujiunga na Kidato cha Kwanza kwa kukosa karo

Na LAWRENCE ONGARO WAZAZI wengi katika vijiji vya Maraba, Nyachaba na Ndarugu, eneo la Juja, wanataka Wizara ya Elimu kuingilia kati...

Raia 104 wa Ethiopia watiwa mbaroni baada ya kupatikana wakiishi kwenye nyumba ya vyumba vitatu Juja

Na LAWRENCE ONGARO RAIA 104 wa Ethiopia walinaswa eneo la Juja katika Kaunti ya Kiambu. Inadaiwa walipatikana katika mtaa wa Matangi,...

Wachomea Rais picha

Ruto apenya nyumbani kwa Uhuru, Raila aendeleza ushawishi Nyanza VIONGOZI walioongoza kampeni za chama cha tawala cha Jubilee kwenye...

Shughuli ya kuhesabu kura Juja yaendelea baada ya vurugu kutokea usiku

Na LAWRENCE ONGARO UCHAGUZI mdogo wa Juja ulikamilika Jumanne lakini vurumai zikishuhudiwa usiku wakati kura zilikuwa zikihesabiwa...

Idadi ndogo ya wapigakura yashuhudiwa kwenye uchaguzi mdogo Juja

Na LAWRENCE ONGARO UCHAGUZI mdogo wa kiti cha ubunge Juja umefanyika Jumanne huku idadi ndogo ya wapigajikura ikishuhudiwa. Usalama...

Usalama waimarishwa Juja tayari kwa uchaguzi mdogo Jumanne

Na LAWRENCE ONGARO UCHAGUZI mdogo wa kiti cha ubunge Juja utafanyika Jumanne, Mei 18, 2021, na tayari wapigakura wamehimizwa watawanyike...

Mwaniaji kiti cha ubunge Juja kupandishwa kizimbani Aprili 26

Na LAWRENCE ONGARO MWANIAJI wa kiti cha ubunge Juja, Bw George Koimburi, alitoka mafichoni mnamo Alhamisi, baada ya kusakwa na maafisa...

IEBC yaidhinisha wawaniaji 6 wa ubunge Juja

Na LAWRENCE ONGARO TUME ya uchaguzi ya IEBC iliwaidhinisha wagombezi sita wa ubunge katika kiti cha Juja. Zoezi hilo lililofanyika mnamo...

JAMVI: Kipute kikali kati ya Rais Kenyatta na Ruto chatarajiwa Juja Mei 18

Na MWANGI MUIRURI UCHAGUZI mdogo wa eneobunge la Juja unatazamiwa kutoa taswira kamili kuhusu ushindani kati ya Rais Uhuru Kenyatta na...

TANZIA: Mbunge wa Juja afariki

SIMON CIURI na CHARLES WASONGA MBUNGE wa Juja Francis Munyua Waititu amefariki baada ya kuugua kansa ya ubongo kwa kipindi...

Wakazi wa Juja wanaopitia hali ngumu waisihi serikali iwapelekee chakula

Na LAWRENCE ONGARO WAKFU wa Jungle Foundation unazuru maeneo mbalimbali ya Kaunti ya Kiambu kwa minajili ya kutoa chakula na vifaa vya...

Jinsi washukiwa watatu wa uhalifu walivyouawa Juja

Na LAWRENCE ONGARO WASHUKIWA watatu wa ujambazi waliovamia kijiji cha Nyacaba, kaunti ndogo ya Juja, wameuawa na maafisa wa...