Tupatane mahakamani, Dorcas Mwende amwambia mamaye Jackline Nzilani

COLLINS OMULO NA WANGU KANURI Dorcas Mwende hana majuto. Isitoshe, yupo tayari kwa hukumu itakayothibitisha ukweli kuhusu madai...

Siombi radhi, Wambua ni dume katili, Nzilani sasa asema

NA PIUS MAUNDU Kwa mtu aliyejipata katikati ya zogo la kifamilia lililosambaa kote nchini, Jackline Nzilani anaonekana mwenye utulivu...

Kalembe Ndile kumpa Wambua ekari mbili za shamba wiki hii

NA WANGU KANURI Siku kadhaa baada ya Julius Wambua Musyoka kutoka jela ya Kamiti alipotumikia kifungo cha miaka kumi kwa shtaka la...

DPP apewa mwezi mmoja kuamua ikiwa atamshtaki upya Wambua

Na Lillian Mutavi Mahakama ya Kithimani, Kaunti ya Machakos imempatia Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) siku 30 kuamua iwapo...