Juventus kumtia Ramsey mnadani

Na CHRIS ADUNGO JUVENTUS wamefichua mpango wa kuzinadi huduma za kiungo Aaron Ramsey mwishoni mwa msimu huu baada ya kukiri kwamba...

Soka ya Italia kurejea kwa nusu-fainali ya Coppa Italia

Na CHRIS ADUNGO JUVENTUS na AC Milan zitakuwa klabu za kwanza kurejelea soka ya Italia zitakapovaana Ijumaa ya Juni 12 katika mkondo wa...

Juve watenga Sh28 bilioni kumnunua Harry Kane

Na CHRIS ADUNGO JUVENTUS wamefichua azma ya kuweka mezani kima cha Sh28 bilioni na kujitwaliwa huduma za mvamizi wa Tottenham Hotspur,...

Juventus ugenini leo Jumatano kupiga na Lokomotiv

Na MASHIRIKA MOSCOW, Urusi MABINGWA wa Serie A, Juventus watakuwa ugenini nchini hapa leo Jumatano usiku kupepetana na Lokomotiv...

De Ligt atua Juventus, ajibebea taji la beki ghali zaidi sokoni

Na MASHIRIKA ROME, Italia BEKI wa kati Matthijs de Ligt amempiku Mholanzi mwenzake Virgil van Dijk kutoka klabu ya Liverpool kama...

MALI YA JUVE: Matthijs de Ligt atua mjini Turin

Na MASHIRIKA na CHRIS ADUNGO NAHODHA na beki matata wa Ajax Amsterdam na timu ya taifa ya Uholanzi, Matthijs De Ligt, 19, ametua mjini...

NIPO KWA KAZI HII: Magoli ya CR7 yanusuru Juventus

Na MASHIRIKA TURIN, Italia KABLA ya Juventus kuibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Atletico Madrid, staa Cristiano Ronaldo aliripotiwa...

NI KISASI: Atletico kwenye mizani ya Juventus huku City ikialika Shalke UEFA

TURIN, ITALIA JUVENTUS watakuwa leo Jumanne wenyeji wa Atletico Madrid katika mchuano wa mkondo wa pili wa mwondoano wa Klabu Bingwa Ulaya...

Allegri aapa kuikung’uta Altetico ikizuru Turin

NA CECIL ODONGO MADRID, UHISPANIA MKUFUNZI Mkuu wa timu ya Juventus, Massimiliano Allegri amesema kwamba ana wingu la matumaini la...

Ronaldo aibeba Juventus kupiga Sassuolo

Na CECIL ODONGO MSHAMBULIZI  wa Ureno Cristiano Ronaldo Jumapili alifungua rasmi akaunti yake ya magoli kwa klabu yake mpya ya...

Buffon: Michael Oliver ana jaa la taka rohoni, alifaa kula vibanzi na mashabiki

Na CHRIS ADUNGO KIPA wa Juventus Gianluigi Buffon alimkejeli kwa kila aina ya maneno mazito refarii Michael Oliver baada ya timu yake...

Juventus yakabiliana na Real Madrid baada ya penalti chungu

Na CHRIS ADUNGO TIMU ya Juventus Jumatano usiku ililazimika kuaga kipute cha Klabu Bingwa Ulaya baada ya refa kuipa Real Madrid penalti...