Wanawake watwaa majukumu ya kiume wazee wakilewa tu!

WANDERI KAMAU na STEVE NJUGUNA ATHARI za matumizi ya mihadarati miongoni mwa vijana katika eneo la Mlima Kenya zimeanza kupita mipaka...

Familia yahangaika baada ya kupata mwili uliokuwa umetoweka kaburini

Na MAUREEN ONGALA FAMILIA ya marehemu Fatuma Mwero kutoka kijiji cha Mabirikani, Kaunti ya Kilifi ambaye mwili wake ulikuwa umetoweka...

Aliyechimba kaburi lake mwenyewe ajiua

Na George Odiwuor MWANAMUME wa umri wa miaka 50 alijitia kitanzi mwezi mmoja baada ya kuchimba kaburi atakamozikwa katika eneo la...

Wizara yajitenga na madai ya kugundulika alikozikwa Dedan Kimathi

Na CHARLES WASONGA na MARY WANGARI SERIKALI imepuuzilia mbali ripoti kwamba kaburi la mpiganiaji uhuru Shujaa Dedan Kimathi limepatikana...

Wizi wa majeneza na misalaba makaburini washangaza wakazi

Na WAIKWA MAINA WAKAZI mjini Ol Kalou, Kaunti ya Nyandarua wameshangazwa na visa vya wizi wa majeneza na misalaba katika makaburi ya...

Marehemu arejeshwa mochari kwa kukosa pa kuzikwa

Na MOHAMED AHMED na BRIAN OCHARO Kwa Muhtasari: Familia ilikuwa imechimba kaburi na kukamilisha mipango ya mazishi wakati...