Jinsi ya kutambua dhehebu lenye imani potovu

NA MHARIRI WAUMINI huhitajika uaminifu wao wote uwe kwa kiongozi wao wa kidini, na hii huhitaji kukatiza mahusiano ya kifamilia na...

Marwa: Tuko tayari kumaliza zogo la kanisa Adventista

NA CECIL ODONGO VIONGOZI Waadventista wenye hadhi serikalini na katika jamii walitangaza kujitolea kwao kupatanisha kambi mbili...

Pasta atimua polo kumtamani bintiye kanisani

NA JOHN MUSYOKI MACHAKOS MJINI KISANGA kilizuka katika kanisa moja hapa jamaa alipofurushwa kwa madai ya kuharibu binti ya pasta....

Vurugu waumini wakipinga pasta kutumia hela za kanisa kujinunulia gari

Na CAROLINE MUNDU VURUGU zilitokea katika Kanisa la Nyalenda Baptist mjini Kisumu Jumapili kufuatia madai kwamba pasta alitumia pesa za...

Pasta ndani miaka 15 kwa kubaka waumini 8 mara 40 kanisani

Na GEOFFREY ANENE PASTA mmoja kutoka nchi ya Korea Kusini amehukumiwa kifungo cha miaka 15 gerezani Alhamisi kwa kubaka waumini wanane...

Serikali ikate fungu la kumi kwenye mishahara ya waumini – Askofu

DAILY MONITOR Na PETER MBURU MHUBIRI mmoja kutoka Kampala, Uganda ametoa pendekezo lisilo la kawaida, kuwa serikali iwe ikiwakata waumini...

Jombi aomba kanisa limsaidie kutimua mke

Na TOBBBIE WEKESA KABARI, KIRINYAGA Kalameni mmoja aliwashangaza waumini wa kainsa moja la hapa alipoingia kanisani na kuomba...

Kioja miili ya mwanamume na mwanamke kupatikana na kondomu ndani ya kanisa

Na MWANGI MUIRURI MAAFISA wa polisi katika Kaunti ya Kirinyaga wanachunguza kisa ambapo miili ya mwanamume na mwanamke iliyokuwa uchi wa...

Jela miezi 6 kwa kupanda bangi kanisani akidai ni maua

Na TITUS OMINDE MWANAUME mmoja alifungwa jela Jumatatu na mahakama ya Eldoret baada ya kupatikana na hatia ya kupanda mmea wa bangi...

Buda akiri kanisani anakaranga yaya na mkewe kwa kikaango kimoja

Na SAMMY WAWERU MUNYU, THIKA KIOJA kilishuhudiwa katika kanisa moja mtaani hapa mzee aliyeokoka alipokiri kwamba alikuwa na uhusiano...

Gunia la miraa latolewa kanisani kama sadaka

Na LEAH MAKENA MUTUATI, MERU Polo wa eneo hili alishangaza waumini wa kanisa moja kwa kupeleka gunia la miraa kanisani kama sadaka ya...

Akemea pasta kanisani kumchochea aachane na mumewe amtafutie bwanyenye

Na CORNELIUS MUTISYA KAVIANI, MACHAKOS MAMA wa hapa alimkemea pasta wake mbele ya waumini akimshutumu kwa kumchochea amteme mumewe...