Mfanyabiashara kufungwa kwa kubomoa kanisa

Na RICHARD MUNGUTI MFANYABIASHARA anayeshtakiwa kubomoa Kanisa kinyume cha agizo la mahakama kuu anakondolewa macho na kifungo cha jela...

Kanisa la Glory OutReach Assembly lazingatia kuhubiri amani

Na LAWRENCE ONGARO KANISA la Glory OutReach Assembly lililoko Kahawa Wendani limejitolea kuendeleza na kudumisha amani kote nchini kwa...

Kioja waumini wakivunja makufuli sita kanisani

Na RUSHDIE OUDIA KISANGA kilizuka Jumapili asubuhi katika kanisa moja mjini Yala, Kaunti ya Siaya, baada ya kundi la waumini waliojawa...

Makanisa sasa yazoea hali ya waumini kuombea nyumbani

NA SAMMY WAWERU Wiki ya pili, makanisa kote nchini yamesalia kufungwa kufuatia agizo la serikali ili kusaidia kudhibiti maenezi ya Covid...

Corona yapangua ibada, sadaka kutolewa kwa kutumia M-Pesa

Na FAITH NYAMAI KWA mara ya kwanza katika historia ya Kenya, makanisa mengi yamesitisha ibada zao za Jumapili kote nchini na kuwaruhusu...

Akata mti baada ya kukosa cheo kanisani

Na John Musyoki NGETANI, Masinga MUUMINI wa kanisa moja kutoka eneo hili alishangaza watu alipokata mti aliopanda kanisani baada ya...

Kanisa la ACK kupokea sadaka kwa M-Pesa kuzima ufisadi

Na KNA ASKOFU Mkuu wa Kanisa Anglikana (ACK) Jackson ole Sapit, amefichua mipango ya kanisa hilo kuanza kupokea sadaka kwa njia ya simu...

Mazungumzo baina ya Kanisa na vijana yachangia kuimarika kwa usalama

Na SAMMY KIMATU KANISA linafurahia matunda ya mazungumzo na vijana yaliyochangia kuimarika kwa usalama wakati wa msimu wa...

Kanisa Katoliki lapiga marufuku nguo za kubana mwili kanisani

NA SAMMY KIMATU KANISA Katoliki lililo jijini Nairobi limeshangaza wengi kwa kuchapisha na kutundika bango langoni kuhusu mavazi ambayo...

Sababu ya Uhuru kumfuata Ruto kanisani

Na VALENTINE OBARA Wakenya wengine walishangaa kwa nini mchango wake ulitangazwa, ilhali Kanisa Katoliki lilitoa masharti mapya kuhusu...

Kanisa nalo laweka kibanda katika uwanja wa maonyesho Kisumu

Na MARY WANGARI KANISA Katoliki mjini Kisumu halikuachwa nyuma Alhamisi pale liliweka kibanda katika Maonyesho ya Kilimo yaliyong’oa...

Kanisa ladai upangaji uzazi umelipunguzia waumini

Na ALEX NJERU MAKASISI wa Kanisa Katoliki wamelaumu matumizi ya njia za kisasa za upangaji uzazi kama sababu kuu ya kupungua kwa idadi...