Aliyekuwa mwenyekiti TLB afariki kutokana na kansa

Na GEORGE SAYAGIE ALIYEKUWA mwenyekiti wa Bodi ya Utoaji Leseni katika Sekta ya Uchukuzi (TLB), Hassan Ole Kamwaro amefariki kutokana na...

Aliyejiua kuhusu kansa alihofia upasuaji – Familia

Na JAMES MURIMI MGONJWA wa kansa aliyejitoa uhai katika Kaunti ya Laikipia wiki iliyopita, alikuwa na wasiwasi mwingi na hofu ya...

Thailand kutumia bangi kutibu kansa

NA MASHIRIKA BANGKOK, Thailand WIZARA ya Afya Jumatatno ilipokea shehena ya kwanza ya mafuta ya bangi yatakayotumiwa katika matibabu...

Huenda serikali iliuzia Wakenya kansa 2008

Na VALENTINE OBARA HOFU imeibuka miongoni mwa Wakenya kwamba mahindi yenye sumu ya aflatoxin, yaliyoingizwa nchini kutoka ng’ambo...

WASONGA: Juhudi zifanywe kufunza madaktari zaidi kuhusu kansa

Na CHARLES WASONGA TATIZO kuu katika mpango mzima wa tiba ya magonjwa sugu nchini huwa ni ukosefu wa wataalamu, vifaa na dawa za kutibu...

Wataalamu wapuuza dai la ‘mursik’ kusababisha saratani

Na EDITH CHEPNGENO WATAALAM kuhusu ugonjwa wa saratani wamepuuzilia mbali hofu inayohusisha mursik ambayo ni maziwa yaliyogandishwa, na...

Serikali yaomba mchango kujenga kituo cha saratani

Na VALENTINE OBARA WANANCHI wameghadhabishwa na hatua ya serikali kuwaomba wachange fedha za ujenzi wa kituo cha matibabu ya kansa...

DCI alaumu ufisadi kwa ongezeko la kansa nchini

Na VALENTINE OBARA WAFANYABIASHARA matapeli wanaouza bidhaa ghushi, hasa vyakula, wamelaumiwa kwa ongezeko la maradhi ya kansa...

BURIANI LABOSO: Saratani sasa janga la kitaifa

VALENTINE OBARA na GEORGE MUNENE WAKENYA elfu 33 wanafariki kila mwaka kutokana na kansa, ugonjwa ambao Jumatatu ulimuua Gavana Joyce...

Watu mashuhuri walioangamizwa na kansa

Na BENSON MATHEKA KIFO cha Gavana wa Bomet Joyce Cherono Laboso kimeongeza idadi ya watu mashuhuri ambao wameuawa na kansa...

TANZIA: Kumhusu Dkt Joyce Laboso

NA MWANGI MUIRURI SIKU nne tu baada ya saratani kumnyakua aliyekuwa mbunge wa Kibra Bw Ken Okoth (41), gavana wa Kaunti ya Bomet, Dkt...

SARATANI WATUTAKIANI?

NA NEHEMIAH OMUKONYA Ninaandika, chozi likinidondoka, Nahuzunika, wapendwa tukiwazika, Hapa nataka, 'jua tutavyoepuka, Saratani! Tukupe...