Serikali yaondoa kafyu katika eneo la Kapedo

Na MARY WAMBUI SERIKALI Jumatatu iliondoa kafyu iliyokuwa imewekwa Kapedo kwa siku 30 kutokana na ukosefu wa usalama. Waziri wa...

Diwani ajitenga na ufadhili wa ghasia Kapedo

 NA RICHARD MAOSI Nelson Lotela ambaye ni mwakilishi wadi wa Silale, kutoka kaunti ya Baringo amejitenga na madai kuwa amekuwa...

Washukiwa saba, silaha 35 zanaswa katika operesheni Kapedo/Arabal

Na CHARLES WASONGA WASHUKIWA saba wamekamatwa na maafisa wa usalama wanaoendesha operesheni ya kusaka wahalifu wanaosababisha mauaji...

Diwani akanusha madai kuwa anachochea uhasama Kapedo

Na RICHARD MAOSI DIWANI wa wadi wa Silale iliyoko Kaunti ya Baringo Nelson Lotela amejitenga na madai kuwa amekuwa akichochea uhasama...

Serikali yatakiwa kuwapa walimu ulinzi wa kutosha

EVANS KIPKURA na STEVE NJUGUNA MUUNGANO wa walimu nchini umetoa wito kwa serikali kurejesha amani katika kaunti za Bonde la Ufa ambazo...

Mbunge akamatwa kuhusu mapigano Kapedo

MARY WAMBUI na OSCAR KAKAI MBUNGE wa Tiaty, Bw William Kamket alikamatwa jana kuhusiana na mashambulio yaliyotokea majuzi eneo la Kapedo...

Wanasiasa wanaofadhili ghasia Kapedo kukamatwa

JOSEPH OPENDA na VALENTINE OBARA WAZIRI wa Usalama Fred Matiang’i, amesema polisi wanachunguza wanasiasa kadhaa wanaoshukiwa kufadhili...

Serikali yaanza operesheni ya kuzima ujangili Kapedo

Na CHARLES WASONGA SERIKALI imeanzisha operesheni kali katika eneo la Kapedo, kaunti ya Turkana kuwasaka majangili waliomuua afisa mmoja...

Majangili wazingira wabunge na wanahabari Kapedo

Na WAANDISHI WETU WABUNGE watatu na wanahabari wanne walikwama eneo la Kapendo kwenye mpaka wa kaunti za Turkana na Baringo baada ya...

Hofu ya wanavijiji kumiliki silaha kali Kapedo

FLORAH KOECH na BARNABAS BII HATUA ya baadhi ya wapiganaji kwenye mzozo unaohusisha jamii za wafugaji eneo la North Rift kumiliki silaha...

Mkutano wa kusuluhisha utata eneo la Kapedo watibuka

WYCLIFF KIPSANG na FLORAH KOECH MKUTANO wa amani ambao ulipangwa kufanyika kati ya viongozi wa Turkana na Pokot mnamo Jumatatu ili...

TAHARIRI: Tusiachie wahuni wawajuhumu raia

NA MHARIRI MAPIGANO ambayo yamezuka katika maeneo ya Kapedo kaunti ya Baringo na Marsabit yanafaa kuchunguzwa kwa kina. Mizozo...