JAMVI: Rais katika njia panda kuhusu kura ya maamuzi

Na MWANGI MUIRURI RAIS Uhuru Kenyatta yuko katika njia-panda kuhusu kura ya maamuzi ya marekebisho ya katiba huku mirengo miwili mikuu...

JAMVI: Huenda Ekuru Aukot ni mradi wa serikali kuhusu kura ya maamuzi

Na CHARLES WASONGA MJADALA kuhusu mageuzi ya Katiba kupitia kura ya maamuzi sasa umechukua msukumo mpya kufuatia hatua ya Kiongozi wa...

Viongozi wa ODM waasi Raila kuhusu suala la referenda

Na RUSHDIE OUDIA na LEONARD ONYANGO BAADHI ya viongozi wa ODM wameenda kinyume na kinara wao Raila Odinga kuhusu pendekezo lake la...

Joho na Balala waunga mkono marekebisho ya katiba

Na MOHAMED AHMED VIONGOZI wa eneo la Pwani Jumanne waliunga mkono kura ya maamuzi ili kuwezesha kubuniwa kwa serikali inayoshirikisha...

Jubilee ni kisiki katika utekelezaji katiba – Maraga

Na VALENTINE OBARA JAJI Mkuu David Maraga, amelaumu Serikali ya Jubilee kwa kuhujumu juhudi za utekelezaji wa katiba iliyopitishwa mwaka...

ONYANGO: Sura ya 6 ya katiba kuhusu maadili haina maana, iondolewe

Na LEONARD ONYANGO KATIBA ya Kenya ilipopitishwa mnamo 2010 ilimiminiwa sifa tele huku ikitajwa kuwa bora zaidi barani Afrika na...

Handisheki haina maana bila mageuzi ya katiba – ODM

Na RUTH MBULA VIONGOZI wa Chama cha ODM wamewapa Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wao Bw Raila Odinga makataa ya hadi Machi 2020 kuandaa...

Raila ajiandaa kupigia debe kura ya maamuzi

Na BENSON AMADALA KIONGOZI wa ODM, Raila Odinga anajiandaa kuanza msururu wa kampeni kuhimiza wafuasi wake katika eneo la Magharibi,...

Wataalamu wataka marekebisho kabla ya 2022

Na RUSHDIE OUDIA WATAALAMU katika fani mbalimbali wametaja ufisadi, gharama ya juu ya kuendesha uchaguzi na usimamizi mbaya kama baadhi...

Mashirika yataka Wakenya wahusishwe kubadili Katiba

NA CECIL ODONGO VIONGOZI wa Mashirika ya Kijamii (NCSC) Jumapili waliwataka Wakenya kushirikishwa vilivyo kwenye mjadala unaoendelea wa...

JAMVI: Hofu kuwa katiba inayopendekezwa itakuwa ghali zaidi

Na LEONARD ONYANGO KATIBA mpya inayopendekezwa huenda ikawa ghali zaidi kutekelezwa kuliko Katiba ya 2010. Wanaunga mkono...

Wabunge wapendekeza Seneti iondolewe kwa katiba

NA FRANCIS MUREITHI WABUNGE wawili kutoka Kaunti ya Nakuru wameapa kuwaongoza wananchi waliowachagua kufutilia mbali uwepo Bunge la...