KAULI YA WALLAH BIN WALLAH: Kukuza na kuendeleza Kiswahili ni dhima yetu sisi sote ulimwenguni

Na WALLAH BIN WALLAH KATIKA uwanja wa kandanda refarii hachezi lakini wajibu wake mkubwa ni kuchezesha mpira na kudhibiti nidhamu na...

KINA CHA FIKIRA: Ujeuri wa mpapai hujeruhi na udhalili wa unyasi huokoa

Na WALLAH BIN WALLAH KILA mwanadamu ana hulka au tabia tofauti. Wapo wenye tabia za upole, unyenyekevu na heshima. Pia wapo wenye...

KAULI YA WALLAH: Ni busara kufikiri badala ya kupapia kusema au kujibu

NA WALLAH BIN WALLAH KUFIKIRI ni kazi. Ubongo wako hauwezi kukupa majibu sahihi ya maswali unayoulizwa bila ya ubongo kufanya kazi ya...

WALLAH: Usimtukane mamba kabla hujauvuka mto

NA WALLAH BIN WALLAH JUZI nilimsikia Mzee Shikaadabu akimkanya mjukuu wake aitwaye Kichwamraba akome kabisa ujeuri! Akamwambia, 'Mjukuu...

KINA CHA FIKIRA: Epuka kujipaka uchafu ndipo nzi wasikusumbue

Na WALLAH BIN WALLAH BABU yangu Mzee Majuto bin Kengemeka aliniambia zamani nilipokuwa kijana mchanga kwamba watu humchukia nzi -mdudu...

KINA CHA FIKRA: Kuteka watoto nyara ni unyama na hatari kwa usalama

Na WALLAH BIN WALLAH KILA kunapokucha kunakucha na kucha zake! Siku hizi kila kunapokucha utasikia visa vya kuatua moyo na kuogofya...

KINA CHA FIKRA: Asilan usikubali kushindwa hata kabla ya kujaribu

Na WALLAH BIN WALLAH UNYONGE wa watu wengine ni kukata tamaa mapema hata kabla ya kujaribu kufanya shughuli au kazi fulani wanazopaswa...

KINA CHA FIKRA: Profesa Ken Walibora alikichapukia Kiswahili kwa kauli na matendo, Mola azidi kumrehemu

Na WALLAH BIN WALLAH LEO tumeumega mwaka mzima kasoro siku tatu tangu alipoaga dunia Profesa Ken Walibora mwandishi mahiri mtajika wa...

KINA CHA FIKRA: Daima Magufuli atakumbukwa kwa uzalendo na utetezi wake wa Kiswahili

Na WALLAH BIN WALLAH KIONGOZI yeyote awaye mwanamapinduzi na mzalendo halisia mara nyingi hukumbatia na kuonea fahari lugha ya taifa...

WALLAH BIN WALLAH: Tumia Kiswahili kujinyanyua kimaisha, usilaze damu aisee!

NA WALLAH BIN WALLAH KILA kitu kinatafutwa papa hapa duniani. Ukikosa kukipata unachokitaka, usiseme hakipo au hakipatikani ama...

KINA CHA FIKRA: Kujiamini kama kiambata cha ufanisi maishani

Na WALLAH BIN WALLAH WATU wengi wana uwezo wa kuyatenda mambo mazuri makubwa maishani lakini wanashindwa kwa sababu...

KINA CHA FIKIRA: Uzuri na ubaya wa mtu umo ndani ya mtu mwenyewe!

Na WALLAH BIN WALLAH SIFA za upole na ujeuri zimefichamana ndani ya mtu! Hazionekani mpaka zichokorwe na kuchokozwa ndipo zilipuke...