Wazee wa Kaya sasa wavuruga karata za Jumwa

Na MAUREEN ONGALA WAZEE wa Kaya wamezamia siasa za urithi wa kiti cha ugavana Kaunti ya Kilifi, katika hali ambayo itavuruga hesabu za...

Wazee wa Kaya watishia kulaani waliosingizia Naibu Gavana

Na CHARLES LWANGA WAZEE wa Kaya wamewataka wale waliosingizia Naibu Gavana wa Kilifi, Bw Gideon Saburi mashtaka ya kupotosha wakati wa...

Wazee wataka mitishamba itumike kutibu corona

MAUREEN ONGALA na FLORAH KOECH WAZEE wa Kaya katika eneo la Pwani, wanaitaka serikali ijaribu kutibu virusi vya corona kupitia...

Wazee wa Kaya walaumiana kwa kuunga mkono MRC

Na SIAGO CECE Makundi ya wazee wa Kaya Mzirima na Mzidia yamedai kuwa Kaya Bombo imewaficha wanachama wa kundi la MRC (Mombasa...

Wazee wa Kaya wamuombea Sonko, waunga mkono BBI

Na FADHILI FREDRICK WAZEE wa Kaya eneo la Pwani walimfanyia Gavana wa Nairobi Mike Sonko maombi maalumu katika eneo takatifu la Kaya...

KURUNZI YA PWANI: Thamani ya misitu ya Kaya kwa Mijikenda

Na KAZUNGU SAMUEL MISITU ya kaya katika ukanda wa Pwani ni muhimu sana katika uhifadhi wa mazingira na kuulinda utamaduni. Katika...