Ni KCPE kwa hofu vijiji vikichomwa kaunti ya Baringo

NA WANDISHI WETU WATAHINIWA katika baadhi ya shule Kaunti ya Baringo, Jumatatu walifanya mtihani wa Darasa la Nane (KCPE) kwa hofu...

Kamishna ataka serikali impe ndege ya kusaka wanafunzi

NA MWANDISHI WETU KAMISHNA wa Kaunti ya Baringo Henry Wafula ameitaka serikali kumpa helikopta ili awasake watahiniwa wa KCPE mwaka jana...

Shule za kibinafsi zalalamikia ubaguzi

Na WANDERI KAMAU CHAMA cha Wamiliki wa Shule za Kibinafsi nchini (KPSA) kimelalamika kuwa wanafunzi katika shule hizo walibaguliwa...

Serikali yasema haijui walikoenda watahiniwa 12,000 wa KCPE

Na FAITH NYAMAI SERIKALI imeshindwa kueleza walikoenda wanafunzi 12,424 waliojisajili kufanya mtihani wa KCPE 2020, shule...

Matokeo ya somo la Kiswahili yaimarika pakubwa

Na LEONARD ONYANGO WATAHINIWA walifanya vyema katika somo la Kiswahili kwenye Mtihani wa Darasa la Nane (KCPE) wa mwaka huu...

Mabinti wabwaga wavulana

Na BENSON MATHEKA MATOKEO ya mtihani wa kitaifa wa Darasa la Nane (KCPE) wa 2020 yaliyotolewa jana, yalikuwa na maajabu ya aina yake...

Matokeo ya KCPE kutolewa mwezi huu

VICTOR RABALLA na PIUS MAUNDU MATOKEO ya mtihani wa Kitaifa wa Shule za Msingi (KCPE) yanatarajiwa kutolewa baada ya wiki...

KCPE yaanza kwa visa vya kujifungua

Na WAANDISHI WETU VISA kadhaa vilishuhudiwa Jumatatu Mtihani wa Darasa la Nane (KCPE), ulipoanza, huku baadhi ya watahiniwa wakilazimika...

Maelfu ya watahiniwa kukosa KCPE na KCSE

Na WAANDISHI WETU MAELFU ya watahiniwa wa mitihani ya darasa la nane (KCPE) na kidato cha nne (KCSE) hawako shuleni huku mitihani hiyo...

Wanafunzi wafeli majaribio ya KCPE kwa wingi

Na DAVID MUCHUNGUH WANAFUNZI wengi walianguka mtihani wa majaribio wa Darasa la Nne waliofanya mwaka jana na kuibua wasiwasi kuhusu...

Huenda baadhi ya watahiniwa wakakosa mitihani ya KCPE, KCSE

Na GEORGE ODIWUOR WATAHINIWA wa mtihani wa Darasa la Nane (KCPE) na Kidato cha Nne (KCSE) katika shule za kibinafsi ambazo zimefungwa na...

Mjarabu wa kitaifa waanza kwa wanafunzi wa Gredi ya Nne na Darasa la Nane

[caption id="attachment_62853" align="alignnone" width="893"] Wanafunzi wa Donholm Catholic Primary, Nairobi wakifanyia mjarabu wa Mitihani...