Wanafunzi wa Kidato cha Nne, Darasa la Nane na Darasa la Nne kurejea shuleni Jumatatu

NA FAUSTINE NGILA WIZARA ya Elimu imewataka wanafunzi wa Kidato cha Nne, Darasa la Nane na Darasa la Nne kurejea shuleni Jumatatu ijayo...

Walimu, wanafunzi watoa kauli tofauti kuhusu KCPE

Na MISHI GONGO WANAFUNZI na walimu wanaofunza da Darasa la Nane na Kidato cha Nne waliostahili kufanya mtihani wa kitaifa mwaka huu...

Serikali sasa yaahirisha KCPE na KCSE hadi 2021

CHARLES WASONGA na WANDERI KAMAU MITIHANI ya kitaifa haitaandaliwa mwaka huu baada ya kuahirishwa hadi mwaka ujao kwa sababu ya janga la...

Rais ahakikishia taifa mitihani ya kitaifa itafanywa mwaka huu

Na SAMMY WAWERU Rais Uhuru Kenyatta amehakikishia taifa kuwa mitihani ya kitaifa ya darasa la nane, KCPE na kidato cha nne, KCSE, 2020...

Mwanafunzi afadhiliwa baada ya masaibu yake kuangaziwa na ‘Taifa Leo’

Na OSBORN MANYENGO MTAHINIWA aliyeibuka bora zaidi katika shule ya umma ya Kaptien, Kaunti ya Trans-Nzoia kwa kuzoa alama 406 katika...

KCPE: Maelfu wavunjika moyo

OUMA WANZALA Na CHARLES WANYORO MAELFU ya watahiniwa wa mtihani wa mwaka huu wa Darasa la Nane (KCPE), wamevunjika moyo baada ya kukosa...

KCPE: Azoa alama 401 licha ya kumuuguza mamaye miaka 4

ERICK MATARA NA RICHARD MAOSI KWA miaka minne Sharon Wangeci mwenye umri wa miaka 13 alilazimika kugawanya muda wake, kusoma na...

KCPE: Tamaduni zawazuia wazazi kusheherekea matokeo bora

NA WAIKWA MAINA HUKU shamrashara za matokeo ya Mtihani wa KCPE zikiendelea kote nchini, familia za baadhi ya watahiniwa walilazimika...

KCPE: Walimu walia kutumika kama watumwa

Na BENSON MATHEKA Walimu waliosahihisha mtihani wa darasa la nane mwaka huu ambao matokeo yake yalitolewa Jumatatu, wameelezea masaibu...

Nderemo waliovuma wakishangilia matokeo

REGINA KINOGU NA JUMA NAMLOLA VIFIJO na nderemo zilipamba moto Jumatatu katika kijiji cha Maragima eneobunge la Kieni, Kaunti ya Nyeri...

KCPE: Wenye miaka mingi wafeli

Na LEONARD ONYANGO WATAHINIWA wenye umri wa zaidi ya miaka 12 na watahiniwa waliokomaa wa kuanzia miaka 17 na zaidi, walifanya vibaya...

KCPE: Nairobi yaongoza kwa waliofanyia mtihani gerezani

Na JUMA NAMLOLA KAUNTI za Nairobi, Kisumu na Nakuru ziliongoza kwa idadi ya wafungwa waliofanya mtihani wa KCPE mwaka huu. Nairobi...