KSCE 2019: Wanafunzi wanaspoti wang’aa

Na CHARLES WANYORO WANAFUNZI wa Shule ya wavulana ya Kangaru, Embu ambao walikuwa viranja na waling’aa kwenye fani ya spoti, ni kati...

Waliowika KCSE wafichua siri za ufanisi

Na WANDISHI WETU MWANAFUNZI aliyefanya vyema zaidi katika Mtihani wa Kidato cha Nne (KCSE) wa 2019, Jumatano, alikuwa akichapa kazi...

Shule miamba zatupwa nje ya 100 bora

Na WAANDISHI WETU SHULE za upili zilizokuwa zikiwika kimatokeo katika eneo la Pwani haziko kwenye orodha ya 100 bora kitaifa mwaka...

Watahiniwa walemavu waongezeka, wang’aa

Na MARY WANGARI JUMLA ya watahiniwa 1,672 wenye ulemavu walishiriki Mtihani wa Kitaifa kwa Shule za Upili (KCSE) mwaka huu miongoni mwa...

‘Nidhamu ilitusaidia kuwika KCSE’

Na LAWRENCE ONGARO SHULE ya upili ya MaryHill Girls' High, Kiambu imesema inajivunia ufanisi kutokana na nidhamu, kumcha Mungu, na...

KCSE 2019: Raha ya ushindi

Na VALENTINE OBARA MATOKEO ya Mtihani wa Kitaifa wa Shule za Upili (KCSE) ya mwaka huu yamekuwa bora kwa kiwango cha juu ikilinganishwa...

KCSE 2019: Wasichana waendelea kuandikisha matokeo bora

Na CHARLES WASONGA KWA mara nyingine wasichana waliandikisha matokeo mazuri katika mtihani wa kitaifa wa Kidato cha Nne (KCSE) mwaka...

KCSE 2019: Kenya High yapepea

Na WANDERI KAMAU SHULE ya Upili ya Kenya High ilitoa idadi kubwa ya wanafunzi waliopata alama ya ‘A’ kwenye matokeo ya Mtihani wa...

Wizi wapungua KCSE 2019

NA CECIL ODONGO IDADI ya watahiniwa waliohusika kwenye udanganyifu wa mtihani wa Kidato cha Nne mwaka huu imepungua kwa kiwango kikubwa...

Magoha sasa kukaza kamba CBC

NA CECIL ODONGO BAADA ya kuridhishwa kwamba mageuzi ya usimamizi wa mitihani ya kitaifa yanazaa matunda, sekta ya elimu sasa inaelekeza...

Kiswahili chasajili matokeo bora KCSE

MARY WANGARI na DIANA MUTHEU KISWAHILI ni miongoni mwa masomo yaliyoandikisha matokeo bora zaidi katika Mtihani wa Kitaifa wa Elimu ya...

Miamba wa KCPE 2015 wakosa kuwika KCSE 2019

Na BENSON MATHEKA WANAFUNZI waliokuwa bora kwenye mtihani wa darasa la nane (KCPE) miaka minne iliyopita hawakutajwa miongoni mwa kumi...