Kesi za ufisadi za Sh224 bilioni zimekwama kortini – Haji

Na BENSON MATHEKA Kesi 135 za ufisadi zinazohusu uporaji wa Sh224 bilioni pesa za umma, zinaendelea katika mahakama tofauti nchini,...

Kesi zaumiza raia

NA WAANDISHI WETU IDADI ya viongozi wanaoandamwa kwa madai ya ufisadi inazidi kuongezeka na kuwaacha wananchi bila uongozi mwafaka,...

Mawakili walaumu mahakama kwa kupanga kutupa maelfu ya kesi

Na BENSON MATHEKA MAWAKILI nchini wamelaumu idara ya Mahakama kwa kutisha kutupilia mbali maelfu ya kesi kwa sababu ya walalamishi...

Majaji watatu washinda kesi ya kususia kazi

Na RICHARD MUNGUTI MAJAJI watatu wa Mahakama ya Juu walishinda kesi waliyoshtakiwa mlalamishi akitaka wafukuzwe kazi akidai walikuwa...

Zaidi ya kesi 3,000 kuamuliwa siku 14 zijazo

Na BENSON MATHEKA ZAIDI ya kesi 3000 zitaamuliwa katika muda wa siku 14 zijazo huku Mahakama ikikumbatia teknolojia kuepuka msongamano...

Polisi wasema mashahidi wa mauaji bado kupatikana, wataka muda zaidi

Na JOSEPH WANGUI POLISI bado hawajafanikiwa kuwapata wanafunzi wawili wa Chuo Kikuu cha Nairobi walioshuhudia mkasa ambapo inadaiwa...

Kabogo bado amwandama Waititu, afufua kesi ya vyeti

Na JOSEPH WANGUI ALIYEKUWA Gavana wa Kaunti ya Kiambu, William Kabogo, amefufua kesi ambayo alitilia shaka vyeti vya masomo vya mrithi...

DPP aelezea nia ya kutaka kufutilia mbali kesi dhidi ya Ongoro

Na RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA Mbunge wa Ruaraka Elizabeth Ongoro amefika mahakamani Nairobi ambapo Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma DPP...

Jinsi mahakama ya Afrika inavyoshughulikia kesi zinazohusu haki za watu na za binadamu kwa jumla

Na MAGDALENE WANJA MAHAKAMA ya Afrika Inayoshughulikia Haki za Kibinadamu na Watu ilitarajiwa Alhamisi kutoa uamuzi wa kesi nane muhimu...

Maraga, Matiang’i na Haji kukutana kujadili mageuzi katika kesi za ufisadi

Na BENSON MATHEKA JAJI Mkuu David Maraga, Waziri wa Usalama wa Ndani Fred Matiang’i na Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP0, Noordin...

Kesi dhidi ya mbunge wa zamani yagonga mwamba

Na RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA Mbunge wa Tetu na mwenyekiti wa Kamati ya Usalama na Uhusiano wa Kimataifa Bungeni, James Ndung’u...

Mahakama ya juu yasema ina mamlaka ya kusikiliza kesi ya magavana

Na BENSON MATHEKA MAGAVANA walipata ushindi katika Mahakama ya Juu, majaji walipoamua kwamba wana mamlaka ya kusikiliza kesi...