Wagombea wa UDA, Jubilee eneobunge la Kiambaa wawarai wafuasi wao wajitokeze

Na SAMMY WAWERU UCHAGUZI mdogo wa kiti cha ubunge Kiambaa unaendelea, mgombea wa UDA John Njuguna Wanjiku na Jubilee, Kariri Njama...

Nani atapaa Kiambaa?

BENSON MATHEKA na SIMON CIURI UCHAGUZI mdogo wa kiti cha eneobunge la Kiambaa unaofanyika leo, unaanika wazi ushindani mkali kati ya...

Kiambaa kuamua mwelekeo wa Nyoro kisiasa – Wadadisi

Na CHARLES WASONGA IMEBAINIKA mustakabali wa kisiasa wa Gavana wa Kiambu James Nyoro utaamuliwa na matokeo ya chaguzi ndogo za eneo...

Ruto apigia debe mgombeaji wa UDA Kiambaa kupitia simu

Na CHARLES WASONGA NAIBU Rais William Ruto ametoa wito kwa wakazi wa eneobunge la Kiambaa kujitokeza kwa wingi mnamo Alhamisi, Julai 15,...

Mgombea wa ubunge Kiambaa kwa tiketi ya UDA alia serikali kumhangaisha

Na SAMMY WAWERU MWANIAJI wa kiti cha ubunge Kiambaa anayepeperusha bendera ya United Democratic Alliance (UDA) John Njuguna Wanjiku...

UDA yapigwa rafu Kiambaa

SIMON CIURI na WANDERI KAMAU CHAMA cha UDA Jumapili kilijipata kona mbaya katika eneobunge la Kiambaa, Kaunti ya Kiambu, baada ya hafla...

Pambano kali kushuhudiwa Kiambu Ruto akikabili Uhuru

Na WANDERI KAMAU NAIBU Rais William Ruto sasa atakabana koo moja kwa moja na Rais Uhuru Kenyatta kwenye uchaguzi mdogo wa eneobunge la...

Koinange alikuwa kiongozi wa kuaminika, UhuRuto wamwomboleza mbunge

NA MWANGI MUIRURI MKUKI katili wa mauti umerejea tena katika bunge la kitaifa na kumvuna mbunge wa Kiambaa Bw Paul Koinange baada ya...

TANZIA: Mbunge wa Kiambaa Paul Koinange afariki kutokana na Covid-19

Na SAMMY WAWERU MBUNGE wa Kiambaa Bw Paul Koinange amefariki Jumatano. Familia yake imesema amefariki kutokana na makali ya virusi vya...

MAUAJI KIAMBAA: Ruto aelezea kanisa lilivyoleta amani baada ya machafuko

Na VALENTINE OBARA NAIBU Rais William Ruto, Jumatatu aliibua kumbukumbu za mauaji yaliyotokea katika Kanisa la Kenya Assemblies of God...