Gavana Wamatangi atoa onyo kwa wahandisi bandia

NA LAWRENCE ONGARO SERIKALI ya Kaunti ya Kiambu itakagua majumba makubwa yaliyojengwa bila idhini maalum kutoka kwa...

Shughuli ya utoaji chanjo ya polio yazinduliwa Kiambu

Na LAWRENCE ONGARO SHUGHULI ya utoaji chanjo ya polio imezinduliwa Kiambu. Waziri wa Afya wa Kaunti hiyo Dkt Joseph Murega, alisema...

Waandishi wanaofanyia kazi zao Kiambu wapewa hamasisho

Na LAWRENCE ONGARO WAANDISHI wa habari wanaofanya kazi wakiwa eneo la Kiambu, wamehimizwa kuwa mstari wa mbele kuandika na kuripoti...

Miradi ya barabara na maji safi kuwafaa wakazi wa Kiambu

Na LAWRENCE ONGARO KAUNTI ya Kiambu imeweka mikakati ya kuchimba visima vya maji katika wadi kadha za eneo hilo. Gavana wa Kiambu Dkt...

Wamiliki wa baa Kiambu washauriwa wajitayarishe vyema

Na LAWRENCE ONGARO WAMILIKI wa sehemu za burudani zikiwemo baa katika Kaunti ya Kiambu wamepewa hakikisho kuwa biashara zao zitarejelewa...

Maafisa wakuu wapya wateuliwa kaunti ya Kiambu

Na LAWRENCE ONGARO GAVANA wa Kiambu Dkt James Nyoro, amewateua maafisa wakuu wapya watakaoendesha shughuli za kaunti hiyo. Wakati wa...

Bajeti Kuu yatenga Sh1.7 bilioni kwa barabara za Kiambu

Na LAWRENCE ONGARO KAUNTI ya Kiambu itanufaika na takribani Sh1.7 bilioni zitakazoelekezwa kwa miradi ya ujenzi wa barabara kutokana na...

Kampuni ya Dawa Group yasaidia kaunti ya Kiambu kupambana na Covid-19

Na LAWRENCE ONGARO KAMPUNI ya Dawa Group Limited ya Thika, imetoa dawa ya kunyunyuziwa ili kusaidia Kaunti ya Kiambu kukabiliana na...

COVID-19: Visa 147 vipya, wote ni Wakenya

Na SAMMY WAWERU KENYA sasa imerekodi jumla ya visa 1,618 vya Covid-19 tangu iliporipoti kisa cha kwanza, baada ya wagonjwa 147 zaidi...

COVID-19: Wakazi wa Kiambu kupimwa baada ya visa viwili kuthibitishwa Makongeni

LAWRENCE ONGARO na SAMMY WAWERU GAVANA wa Kiambu Dkt James Nyoro amesema wakazi wa Kiambu wataanza kupimwa Covid-19 kwa wingi kufuatia...

Serikali ya kaunti ya Kiambu yapata mbinu ya kugawa chakula kwa walioathiriwa zaidi kiuchumi na janga la Covid-19

Na LAWRENCE ONGARO KAUNTI ya Kiambu imeanza rasmi ugavi wa chakula walengwa wakiwa ni walioathiriwa zaidi na janga la Covid-19 ambalo...

Vyuo vya kiufundi Kiambu kuendelea kushona barakoa

Na LAWRENCE ONGARO VYUO vya kiufundi katika Kaunti ya Kiambu vitaendelea kushona barakoa kwa wingi ili kutosheleza mahitaji ya...