Gavana aweka mikakati kukabili Covid-19 Kiambu

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Kaunti ya Kiambu wameshauriwa kufuata ushauri wa serikali kuepuka athari hasi za homa hatari ya...

Kiambu yateua Naibu Gavana mpya

SIMON CIURI na WANDERI KAMAU GAVANA wa Kiambu Dkt James Nyoro, Jumatano alimteua Dkt Joyce Wanjiku Ngugi kuwa naibu gavana mpya. Dkt...

Nani atapewa kiti cha Naibu Gavana kaunti ya Kiambu?

Na LAWRENCE ONGARO BAADA ya gavana wa tatu Dkt James Nyoro kuapishwa rasmi aiongoze Kaunti ya Kiambu wiki mbili zilizopita, sasa macho...

James Nyoro sasa kuapishwa rasmi kesho Ijumaa

Na CHARLES WASONGA NI rasmi sasa kwamba James Nyoro ataapishwa rasmi Ijumaa awe Gavana mpya wa Kiambu baada ya kuondolewa afisini kwa Bw...

Hafla ya kumtawaza Dkt Nyoro awe Gavana wa tatu wa Kiambu yaahirishwa

Na LAWRENCE ONGARO MIPANGO ya kumuapisha Dkt James Nyoro awe gavana wa tatu wa Kaunti ya Kiambu yalitibuka kutokana na mpangilio ya...

Ngoingwa, mtaa unaoimarika kwa kasi Kiambu

NA SAMMY WAWERU Kiambu ni mojawapo ya kaunti zinazounda eneo la Mlima Kenya na ni tajika katika shughuli za kilimo na ufugaji, ikiwa ni...

Mbunge apendekeza naibu gavana awe na mamlaka zaidi

Na LAWRENCE ONGARO KAUNTI ya Kiambu inastahili kuwa na mwongozo unaofaa ili iweze kupiga hatua kimaendeleo. Mbunge wa Thika Bw...

Wachungaji wa madhehebu tofauti waombea Thika Superhighway mjini Ruiru

Na LAWRENCE ONGARO MADEREVA wa magari kwenye barabara kuu ya Thika Superhighway wamehimizwa kuwa makini wanapoendesha vyombo hivyo vya...

Nyoro aomba ushirikiano kuiboresha Kiambu

Na LAWRENCE ONGARO KUNA haja ya kufanya ushauri na wafanyabiashara wote wa Kiambu ili kuboresha hali ya uchumi katika kaunti...

Madiwani Kiambu wafuata ulafi wa wabunge

NA ERIC WAINAINA MADIWANI katika Kaunti ya Kiambu wameshangaza Wakenya kwa kutenga zaidi ya Sh100 milioni kugharimia vikao vya umma...

Umaskini na ardhi kiini cha uhalifu Kiambu

Na MARY WAMBUI PENGO kati ya matajiri na masikini, kupanda kwa gharama ya maisha, kubadilishwa kwa ardhi iliyokuwa ya kilimo kuwa ya...

Jijenge Fund ni mpango mpya wa mkopo unaolenga kunufaisha wakazi wa Kiambu

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Kaunti ya Kiambu, watanufaika kutokana na mpango wa mkopo wa Jijenge Fund ambao umezinduliwa...