UHURUTO WALIVYOFUTA REKODI YA KIBAKI

BENSON MATHEKA NA PAUL WAFULA MATATIZO ya kiuchumi yanayokumba Kenya kwa wakati huu yanatokana na hatua ya serikali ya Jubilee kudunisha...

Wachezaji densi waliomtumbuiza Moi wadai Kibaki aliwadharau

NA VITALIS KIMUTAI HUKU Wakenya wakijiandaa kwa ibada ya mwisho ya Rais Mstaafu Daniel Arap Moi, wanachama wa kundi la wasakataji ngoma...

Jubilee yasaliti Kibaki

Na BENSON MATHEKA SERIKALI ya Jubilee imemsaliti Rais Mstaafu Mwai Kibaki kwa kupuuza sera zake za kiuchumi zilizosaidia kuboresha...

Kibaki alivyofichwa ndani ya stoo chafu serikali ikipinduliwa

Na VALENTINE OBARA KENYA Alhamisi inahitimisha miaka 37 tangu jaribio la mapinduzi ya serikali iliyoongozwa na Rais Mstaafu Daniel arap...

MWAI KIBAKI: Mwanasiasa msomi aliyevumilia na kukwea ngazi hadi Ikulu

Na KENYA YEARBOOK IWAPO majina ya viongozi walioiletea nchi hii sifa yataorodheshwa kwenye kumbukizi ya taifa, basi jina la Rais Mstaafu...

Musila aanika ‘ujanja’ wa Kibaki dhidi ya Raila na Kalonzo

  Na MWANDISHI WETU MISUKOSUKO ya kisiasa iliyokumba muungano wa Narc, ilianza mara tu baada ya Rais Mstaafu Mwai Kibaki...

Kibaki asheherekea miaka 87 kimya kimya nyumbani kwake

Na GRACE GITAU RAIS Mstaafu Mwai Kibaki jana alisheherekea miaka 87 tangu kuzaliwa kwake katika makazi yake ya kifahari mtaani Muthaiga,...

Yaibuka Kibaki alitumia pesa za mlipa ushuru kufadhili masomo ya jamaa zake

Na David Mwere IMEIBUKA kwamba Rais Mstaafu Mwai Kibaki alitumia nafasi yake kama rais kushinikiza kufadhiliwa kwa masomo ya jamaa zake...

Kibaki amsifu marehemu Godia kama mwanamageuzi

Na BENSON MATHEKA Rais Mstaafu Mwai Kibaki amemtaja aliyekuwa Katibu wa Wizara ya Elimu marehemu Prof George Godia kama mtaalamu na...

KINAYA: ‘Baba’ asisubiri hisani ya Uhuru aambiwe akalie kigoda cha ikulu!

Na DOUGLAS MUTUA ‘BABA’ ametongozwa akatongozeka, lakini atakula huu na hasara juu! Aliyemtongoza pia atakula huu. Lakini hii...

JAMVI: Je, Mlima Kenya waweza kumuunga mkono Kalonzo uchaguzini 2022?

[caption id="attachment_1236" align="aligncenter" width="800"] Kiongozi wa chama cha Wiper Bw Kalonzo Musyoka asema na Rais Uhuru Kenyatta...