Meza wembe, Kibicho amwambia Ruto

GEORGE MUNENE NA BENSON MATHEKA KATIBU wa Usalama wa Ndani, Karanja Kibicho, amepuuza wito wa Naibu Rais William Ruto na washirika wake...

Gavana Waiguru, Kibicho wazika uhasama

Na George Munene SHEREHE za kuadhimisha Sikukuu ya Mashujaa mwaka huu, zitakazoandaliwa katika Kaunti ya Kirinyaga, zimefanikiwa...

Kibicho, IEBC waagizwa kulipa familia Sh8m

Na JOSEPH WANGUI MAHAKAMA imemwagiza Katibu wa Wizara ya Usalama wa Ndani, Dkt Karanja Kibicho na Afisa Mkuu Mtendaji wa Tume Huru ya...

JAMVI: Siasa fiche za Waiguru, Kibicho kuhusiana na Kemri

Na WANDERI KAMAU MVUTANO mkali unatokota kati ya Gavana Anne Waiguru wa Kirinyaga na Katibu wa Wizara ya Usalama Dkt Karanja Kibicho,...

Baadhi ya wabunge watetea Matiang’i na Kibicho

Na CHARLES WASONGA WABUNGE wa Jubilee wanaoegemea mrengo wa 'Kieleweke' wamemtaka Niabu Rais William Ruto kukubali kushindwa kwa mgombea...

Hatuna ripoti za njama ya kuua Ruto – Kibicho

Na AGEWA MAGUT KATIBU wa Wizara ya Usalama wa Ndani, Karanja Kibicho amepuuzilia mbali madai kwamba anahusika na njama ya kumuua Naibu...

Kibicho anavyotetemesha kambi ya Ruto

Na MWANGI MUIRURI WASIWASI umekumba maafisa wa serikali na wanasiasa kuhusu uwezo mkubwa wa Katibu wa Wizara ya Usalama wa Ndani,...