Uweza Women yawapa akina dada jukwaa la matumaini kukuza talanta na kuimarisha maisha kimaadili

Na PATRICK KILAVUKA KWA kuzingatia kwamba mtoto uleavyo ndivyo akuavyo, timu ya kabumbu ya Uweza Women iliyo katika mwavuli wa Uweza...

Covid-19: Kibra yapata visa vingi zaidi

NA MWANDISHI WETU MTAA wa Kibra Alhamisi umerekodi idadi kubwa zaidi ya watu walioambukizwa virusi vya corona, kati ya mitaa ya jiji la...

Kibra na Mombasa maeneo hatari kwa ueneaji wa corona

VALENTINE OBARA na WACHIRA MWANGI BANDARI ya Mombasa na mtaa wa Kibra ulio Kaunti ya Nairobi, ni miongoni mwa maeneo ambayo yamo...

ODM yashukuru Rais kuhusu BBI

NA JUSTUS OCHIENG' CHAMA cha ODM kimepongeza Rais Uhuru Kenyatta kutokana na kauli yake kuhusu ripoti ya Jopokazi la Maridhiano (BBI) na...

KIBRA: Tangatanga wadai wakuu walileta fujo

Na CHARLES WASONGA WABUNGE wa Jubilee wanaoegemea mrengo wa Tangatanga wamemhusisha Waziri wa Usalama wa Ndani Fred Matiang'i na Katibu...

‘Tangatanga’ wadai Matiang’i alijua kitu kuhusu fujo za Kibra

CHARLES WASONGA WABUNGE wa Jubilee wanaoegemea mrengo wa 'Tangatanga' sasa wamehusisha jina la Waziri wa Usalama wa Ndani Fred Matiang'i...

WASONGA: Fujo za Kibra ni aibu kwa ODM na viongozi wake

Na CHARLES WASONGA UCHAGUZI mdogo wa kuwania kiti cha ubunge cha Kibra ulikamilika Ijumaa iliyopita baada ya mgombeaji wa ODM Benard...

Walia waliozua fujo wako huru

Na SHABAN MAKOKHA BAADHI ya viongozi wa kisiasa katika eneo la Magharibi mwa nchi wanamtaka Inspekta Mkuu wa Polisi, Bw Hillary...

WANDERI: Wakenya watasalia watumwa daima dahari

Na WANDERI KAMAU UCHAGUZI mdogo wa eneobunge la Kibra ambao ulifanyika Alhamisi iliyopita umedhihirisha kwamba Wakenya daima watabaki...

Niliogopa sana kupoteza ‘bedroom yangu’ Kibra – Raila

Na LEONARD ONYANGO KINARA wa ODM Raila Odinga amefichua kuwa alikuwa na hofu ya kubwagwa na Naibu wa Rais William Ruto katika uchaguzi...

JAMVI: Kura za Kibra ni mwanzo wa safari ya farasi wawili kuelekea 2022

Na CECIL ODONGO Uchaguzi mdogo wa eneobunge la Kibra uliofanyika Alhamisi wiki jana umebainisha kwamba farasi wawili katika siasa za...

Tulivyolinda ‘bedroom’ ya baba

Na WAANDISHI WETU VIONGOZI wa chama cha ODM, wamefichua kuwa walitumia mbinu ili kuhakikisha kuwa mgombea wake katika uchaguzi mdogo wa...