Imran Okoth ashinda kiti cha ubunge Kibra

Na CECIL ODONGO MWANIAJI wa Chama cha ODM katika uchaguzi mdogo wa Kibra Imran Bernard Okoth ndiye atakakuwa mbunge mpya wa Kibra mara...

Wapigakura eneo la Kibra waanza kutekeleza haki yao kidemokrasia

Na COLLINS OMULO na SAMMY WAWERU WAKAZI wa Kibra, Kaunti ya Nairobi na ambao ni wapigakura wameanza kutekeleza haki yao ya kidemokrasia...

KIBRA: Kiyama cha Ruto, Raila chafika

Na CECIL ODONGO UBABE wa kisiasa kati ya Naibu wa Rais William Ruto na Kinara wa ODM Raila Odinga utapimwa Alhamisi, wapigakura eneo la...

IEBC yajitetea kuhusu sajili ya wapigakura Kibra

Na MAUREEN KAKAH? TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Jumanne alieleza mahakama kwamba imetoa habari zote muhimu kuhusu sajili ya...

KIBRA: ODM yaishtaki IEBC kuhusu sajili

Na MAUREEN KAKAH CHAMA cha ODM kimeishtaki Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kwa kukosa kuweka wazi sajili ya wapiga kura wa eneo...

Je, Kibra watachagua sera au umaarufu?

Na BENSON MATHEKA Huku kampeni za uchaguzi mdogo wa eneobunge la Kibra zikiingia kipindi cha lala salama, wapigakura wataamua iwapo...

WASONGA: Kibra wapuuze Raila, Ruto wajichagulie kiongozi bora

Na CHARLES WASONGA UCHAGUZI mdogo katika eneobunge la Kibra umegeuka kuwa wa aina yake kutokana na sababu kwamba wanasiasa vigogo...

Mariga ataka bangi ihalalishwe

LEONARD ONYANGO na ANITA CHEPKOECH MGOMBEAJI ubunge katika uchaguzi mdogo wa Kibra kwa tiketi ya Chama cha Jubilee, Bw McDonald Mariga...

Tutamshinda Raila asubuhi na mapema Kibra – Ruto

Na SAMUEL BAYA na KITAVI MUTUA NAIBU Rais Dkt William Ruto amesema Jumamosi kwamba chama cha Jubilee kitashinda kwa kishindo chama cha...

IEBC yapuuza madai ya ODM kuihusu sajili

Na CHARLES WASONGA TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imepuuzilia mbali malalamishi ya ODM kwamba haikutoa sajili sahihi ya...

Wazozania jina la Uhuru

Na LEONARD ONYANGO na COLLINS OMULO NAIBU Rais William Ruto na Kiongozi wa ODM, Raila Odinga walitumia jina la Rais Uhuru Kenyatta...

Jubilee yataka IEBC imfungie nje mgombea wa ODM Kibra

Na COLLINS OMULO KAMPENI za uchaguzi mdogo katika eneobunge la Kibra zinazidi kuchukua mkondo wa kutisha, kwani wanasiasa wanaonekana...