Mawimbi ya BBI yanavyoyumbisha kundi la Kieleweke

Na WANDERI KAMAU HATUA ya Seneta Irungu Kang’ata wa Murang’a kumwandikia barua Rais Uhuru Kenyatta mapema wiki hii kwamba huenda...

Kieleweke sasa wataka Kiunjuri avuliwe uwaziri

Na NDUNGU GACHANE VIONGOZI wa kundi la Kieleweke wamemtaka Waziri wa Kilimo Mwangi Kiunjuri ajiuzulu wadhifa wake kisha ajiunge na...

Msajili akataa Tangatanga, Kieleweke

Na LEONARD ONYANGO JUHUDI za baadhi ya wanasiasa kutaka kugeuza makundi ya 'Kieleweke' na 'Tangatanga' kuwa vyama vya kisiasa zimegonga...

Kieleweke wataka Ruto ajiuzulu

Na CHARLES WASONGA WANASIASA wanaopinga azma ya Naibu Rais Dkt William Ruto kuwania urais mwaka 2022, Timu Kieleweke, wanataka ajiuzulu...

Kieleweke wadai Ruto alimchokoza Rais ndipo akazomewa hadharani

Na NDUNGU GACHANE WANACHAMA wa Jubilee wanaopinga kampeni za mapema za Naibu Rais William Ruto wamedai matamshi ya Rais Uhuru Kenyatta...

JAMVI: Tangatanga na Kieleweke wazua uadui kati ya wazee na makanisa

Na WANDERI KAMAU TOFAUTI za kisiasa kati ya mirengo ya ‘Tangatanga’ na ‘Kieleweke’ sasa zimewagawanya wazee na makanisa kuwili...

Jubilee imekufa, Kieleweke sasa wadai

Na NDUNGU GACHANE KUNDI la wabunge wa chama cha Jubilee wanaopinga azma ya Naibu Rais William Ruto kuingia Ikulu mwaka wa 2022 sasa...

JAMVI: ‘Kieleweke’ kutaka kutambuliwa Bungeni ni dalili ya Jubilee kufifia

Na CHARLES WASONGA HATUA ya wabunge wanaopinga azma ya Naibu Rais William Ruto kuingia Ikulu mwaka wa 2022 kumwandikia Spika wa Bunge...

Makundi ya ‘Tangatanga’ na ‘Kieleweke’ yamchanganya Sonko

Na LEONARD ONYANGO MGAWANYIKO ndani ya chama cha Jubilee umemwacha Gavana wa Nairobi Mike Sonko katika njiapanda kisiasa. Gavana huyo...

‘Kieleweke’ wadai Ruto anavuruga viongozi Mlima Kenya

Na NDUNGU GACHANE VIONGOZI kadha wa Mlima Kenya wamemhusisha Naibu Rais, Dkt William Ruto na mgawanyiko unaokumba eneo hilo. Wanadai...

‘Tangatanga’ na ‘Kieleweke’ wakosa adabu kuraruana kanisani

Na CHARLES WASONGA MGAWANYIKO ndani ya chama cha Jubilee uliendelea kushuhudiwa Jumapili pale kundi la wabunge wanaegemea mrengo wa Rais...

Wazee walaani ‘Tangatanga’ na ‘Kieleweke’

Na JOSEPH WANGUI WAZEE wa jamii ya Agikuyu sasa wanataka makundi ya kisiasa ndani ya chama cha Jubilee yavunjwe huku wakikariri msimamo...