Jagina wa soka raia wa Senegal, Papa Bouba Diop aaga dunia

Na MASHIRIKA NYOTA wa zamani wa Fulham, Portsmouth na timu ya taifa ya Senegal, Papa Bouba Diop aliaga dunia mnamo Novemba 29, 2020...

Huzuni watu 10 wakifa maji ziwani

Na DICKENS WASONGA BIWI la simanzi lilitanda katika ufuo wa Ziwa Victoria, eneo la Bondo, Kaunti ya Siaya baada ya watu 10 kufa maji...

Afa lojing’i akiwa na jamaa

Na MWANDISHI WETU POLISI jijini Nairobi wanachunguza kisa ambapo mwanamke aliaga dunia baada ya kuugua akiwa katika lojingā€™i na...

Familia yataka ripoti ya daktari kuhusu mtoto wao aliyefariki

Na SAMMY KIMATU skimatu@ke.nationmedia.com MTOTO wa umri wa miaka tisa alifariki Jumatano katika kisa chenye utata katika mtaa mmoja...

Wakashifu tukio ambapo baba na wanawe wawili waliuawa kwa tuhuma za kujihusisha na al-Shabaab

Na MISHI GONGO BAADHI ya viongozi wa dini ya Kiislamu Kusini mwa Pwani wamekashifu tukio la mauaji ya baba na wanawe wawili eneo la...

TANZIA: Mwanamuziki John Nzenze aliyevumisha ‘twisti’ afariki

Na DERICK LUVEGA MWANAMUZIKI John Nzenze aliyeimba wimbo maarufu wa 'Angelike' amefariki hospitalini Mukumu alikokuwa amelazwa kwa...

Legnano na Atalanta zathibitisha kifo cha kiungo chipukizi Andrea Rinaldi

Na CHRIS ADUNGO KIUNGO Andrea Rinaldi, ameaga dunia kutotakana na matatizo ya ubongo aliyoyapata wakati akishiriki mazoezi mepesi...

COVID-19: Idadi ya Wakenya waliofariki ughaibuni yafika 20

Na CHARLES WASONGA WIZARA ya Mashauri ya Kigeni imethibitisha kuwa jumla ya Wakenya 20 wamefariki kutokana na sababu zinazohusishwa na...

TANZIA: Dereva wa klabu ya Gor Mahia afariki

Na CECIL ODONGO JUMUIYA ya klabu ya Gor Mahia imempoteza dereva wao wa muda wa miaka mingi Bw Patrick Osewe Agwambo aliyefariki Jumatano...

Jagina wa Gor afariki, mazishi ni Jumanne

Na CECIL ODONGO JAGINA wa Gor Mahia Martin Ouma 'Ogwanjo' ambaye aliaga dunia mnamo Jumamosi asubuhi akiwa na umri wa miaka 71, atazikwa...

Hospitali yajiondolea lawama kifo cha Walibora

Na CHARLES WASONGA AFISA Mkuu Mtendaji wa Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta (KNH) Dkt Evanson Kamuri amekana madai kuwa wahudumu wa...

COVID-19: Mkenya afariki nchini Saudi Arabia

Na CHARLES WASONGA MKENYA amefariki kutokana na ugonjwa wa Covid-19 nchini Saudi Arabia, kulingana na balozi wa Kenya nchini humo Peter...